Nadhani labda wameongelea kuhusu ujenzi wa chuo cha CCM. Kuhusu kufundisha masuala ya chama. Sina uhakika lakini hiyo taarifa ni ya ikulu tusubiri taarifa kutoka kwa katibu mwenezi wa CCM kuhusu issue za CCM.
Asante.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.