idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,284
- 38,312
Kidiplomasia unaona inawezekana, au unaona SA sawa na mkoa wa Njombe.?Ameacha kuongea kuhusu mauaji ya wageni na watanzania waishio huko kwa chuki za wageni, akaishia kumpelekea kamusi ya TUKI.
Kweli ng'ombe wa maskini hazai, na akizaa atazaa dume.