Rais Magufuli akutana na kufanya mazungumzo na Rais Ramaphosa siku moja baada ya kuapishwa

Ameacha kuongea kuhusu mauaji ya wageni na watanzania waishio huko kwa chuki za wageni, akaishia kumpelekea kamusi ya TUKI.

Kweli ng'ombe wa maskini hazai, na akizaa atazaa dume.
Kidiplomasia unaona inawezekana, au unaona SA sawa na mkoa wa Njombe.?
 
Ameacha kuongea kuhusu mauaji ya wageni na watanzania waishio huko kwa chuki za wageni, akaishia kumpelekea kamusi ya TUKI.

Kweli ng'ombe wa maskini hazai, na akizaa ndama hufa.
Wewe ni mpumbavu
 
Ramaphosa kapata bahati ya kuchota busara, Hikma na Uadilifu toka kwa Mzalendo namba moja toka kwa Rais Magufuli

Wewe utakuwa ni mmoja wa comedians bora kabisa kupata kutokea nchini. Nikushauri tu, una kipaji kikubwa sana please kichochee.
 
Wewe utakuwa ni mmoja wa comedians bora kabisa kupata kutokea nchini. Nikushauri tu, una kipaji kikubwa sana please kichochee.
Hisia zinaniambia wewe ndio commedian haswa,
Piga ua sifa alizonazo Magufuli duniani Ramaphosa hafiki hata kidogo,pamoja na international (baadhi ya media) kumchafua .
Hapo itakua Ramaphosa anachukua busara tu toka kwa Mzee Magufuli
 
Back
Top Bottom