Rais Magufuli akiwa na Rais Mstaafu Kikwete kwenye ndege

Nasikia dunia toka jana haijazunguka ndugu!
Nilipo kuna kaubaridi kama kote! Ila nishaamka!
Inawezekana mana tokea jana siku azisongi kabisa usiku umekuwa mrefuuuuu na asubuhi imekuwa ndefuuuuu, I wish leo ingekuwa keshokutwa.
 
Umewahi kuona wapi Rais anasindikizwa na Rais mstaafu na sisi tupo? Miaka karibu 4 ya uongozi wa Awamu ya Tano hakuna kizuri kimesemwa kuhusu huyu mstaafu bali ni mabaya na kejeli tu. Huu urafiki wa kusafiri pamoja una ishara gani?
Clinton na Barraka Obama. Mara tatu hivi. Obama akamsubiri airport, Clinton amalize kuongea na wandishi wa habari.
 
Clinton na Barraka Obama. Mara tatu hivi. Obama akamsubiri airport, Clinton amalize kuongea na wandishi wa habari.
Hujataja walikuwa wanasindikizana Mara tatu kwenda nchi zipi. Hata hawa wangekuwa wanakwenda Chato au Mtwara kwa shughuli yoyote kusingekuwa na cha kushangaza wote CCM lakini Obama kw
Clinton na Barraka Obama. Mara tatu hivi. Obama akamsubiri airport, Clinton amalize kuongea na wandishi wa habari.
 
Back
Top Bottom