Rais Magufuli akiwa kwenye matembezi ya jioni, atembelea soko la samaki, Ferry

Influenza

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,445
3,403
Rais Magufuli amefanya mazungumzo na Wafanyabiashara wa Samaki katika Soko la Samaki la Ferry kuhusu umuhimu wa kutumia mifuko mbadala na kuachana na kutumia mifuko ya plastiki

Rais alipita sokoni hapo akiwa katika matembezi yake ya jioni sokoni, alikagua samaki na kisha kununua samaki hao na kisha kuwahifadhi katika kikapu chake cha kiasili

Aidha, Rais Magufuli amezungumza na wauza kahawa katika eneo la Soko la Ferry ambapo aliagiza kuboreshwa kwa sehemu ya biashara hiyo kuanzia siku ya kesho
IMG-20190603-WA0021.jpeg
IMG-20190603-WA0020.jpeg
IMG-20190603-WA0019.jpeg
IMG-20190603-WA0018.jpeg
IMG-20190603-WA0017.jpeg
IMG-20190603-WA0016.jpeg
 
Rais Magufuli amefanya mazungumzo na Wafanyabiashara wa Samaki katika Soko la Samaki la Ferry kuhusu umuhimu wa kutumia mifuko mbadala na kuachana na kutumia mifuko ya plastiki

Rais alipita sokoni hapo akiwa katika matembezi yake ya jioni sokoni, alikagua samaki na kisha kununua samaki hao na kisha kuwahifadhi katika kikapu chake cha kiasili

Aidha, Rais Magufuli amezungumza na wauza kahawa katika eneo la Soko la Ferry ambapo aliagiza kuboreshwa kwa sehemu ya biashara hiyo kuanzia siku ya keshoView attachment 1116518View attachment 1116519View attachment 1116520View attachment 1116521View attachment 1116522View attachment 1116523

Mama aligoma kwenda sokoni au ndo ule mtindo wa...........
 
Back
Top Bottom