Rais Magufuli akitaka kufanikiwa aruhusu immigrants na Dual Citizenship

Utatafuta pesa Tanzania au utakuja na Pesa kutoka unakotoka?, utakapokuja Tanzania bila pesa wewe sio mwekezaji,

Mkuu Hivi unafikiri pesa tu ndio uwekezaji?
Elimu Na maarifa ndio uwekezaji.
Mimi naajiri wengi wenye elimu Na maarifa kwenye miradi mingi ambayo ninayo isimamia.
Katika hao tulio waajiri wengi wamefungua kampuni zao Na wameajiri watu wengi tu.
Elimu,maarifa,uaminifu Na hekima=$$$$$$$$$
 
Wewe unawaajiri na unawalipa nini? elimu au Pesa? Nadhani tunatoka nje ya maada,
 
Mkuu us one million dollars??? Sasa si bora akainvest huko huko USA? _joking

Rebeca 83
Tanzania kuna fursa kila kona.Hapa ndio watu wanatengeneza noti sana.Maana mashindano NI machache.Wiki iliyo pita nilikuwa sehemu za Bunda,Bariadi Na Mwanza kila kona Fursa.
Hizi fursa sio kila mtu anao uwezo wa kuziona.
Utaziona ukiwa hauishi hizo sehemu maana Kwa mtu anaeishi sehemu hizo yuko kwenye "box" Haoni kitu.
Ukitazama Tanzania Kwa ujumla wengi walio fanikiwa NI "wahamiaji" kutoka mikowa mingine
 
Mkuu nikumbuke kwenye hizo fursa
 
hawa wanao ogopa wahamiaji au uraia pacha ni wale wenye vyeti feki na wapiga dili na hakuna matunda ya kazi wanazo fanya , yaani uzalishaji zero. wanajua wahamiaji ni wajasiri na wana ujuzi wa kuleta maendeleo kwa hiyo ni tishio kwa hao maamuma
Labda maana wahamiaji wote wamebobea sana na elimu yao iko juu wanatishia amani hata huko wanakotaka kukumbia
 
Back
Top Bottom