Rais Magufuli akipima joto la mwili kabla ya kuingia katika ukumbi wa Baraza la Mawaziri

Chibudee

JF-Expert Member
Dec 28, 2016
1,775
2,397
Rais Magufuli akipima joto la mwili kabla ya kuingia katika ukumbi wa Baraza la Mawaziri kuongoza kikao cha Baraza ambacho kimehudhuriwa na Makamu wa Rais, Samia Suluhu, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Mawaziri, Manaibu na Viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama, Chamwino Jijini Dodoma.

FB_IMG_1585053777031.jpeg
FB_IMG_1585053775099.jpeg
FB_IMG_1585053773091.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom