MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,171
- 23,991
Baada ya kuwasili Chato kwa kutumia Helikopta, Rais Magufuli aliungana na wana Chato na kuanza kucheza ngoma za Jadi kabla ya kuhutubia kwenye mkutano wa hadhara.
Kabla ya kwenda Chato, Rais Magufuli aliungana na kwaya ya Vijana ya Makongoro kuimba nyimbo mbali mbali zinazohusu maisha na kazi za viongozi katika kuwatumikia wananchi.