Rais Magufuli akigombea 2020 Kupitia CCM Bila wanaCCM Vigogoo na wakongwe atapata ushindi zaidi ya 90% Kuliko akiwa nao

Nimejaribu kuwaza.
Nikipita kijijini na mitaani nikiangalia maoni nje ya mitandao huyu Bwana anakubalika kuliko hata hiyo CCM.

Kwa hatua iloyofika, CCM ndiyo inapaswa kujipendekeza kwa JPM kuliko JPM kubembeleza wanaCCM wamuunge mkono.

Yote kwa Yote, Natamani 2020 nione mambo mengi yasiyoya kawaida na mazoea kuliko chaguzi zote ila amani yetu ibaki kibindoni.

Uhakika nilionao wanaCCM hata wanyukane vipi hawawezi kuhatarisha amani ya nchi. Ila wengine nje ya hao sina imani nao.
Uongo mwingine bwana....

Regime hii itafeli kwa kupenda kua kwenye denial...

Wewe umesema,na sisi wengine pia tunapita mitaani tunapata majibu tofauti kabisa na yako!

Tutabishana hadi kesho,wewe unayo yako na mimi ninayo yangu!

Tusubiri uchaguzi mnawezapata shock of a century!
 
mkuu huipendi CCM, humpendi JPM au hupendi Vyote.
Usiwazuie wanaompenda JPM kumpenda mkuu.
Kuna mwanakijiji mmoja alinipga mkwara akinisikia namsema vibaya atanishughulikia.
Lazima ujue kuna watu wanampenda mno
 
sio nchi hii na waTZ hawa. CCM ikishindwa kwa mshangao nitachukua hadi kadi nijiunge na chama hicho kipya na kikuukuu cha upinzani.

Tuwe wakweli. hawa jamaa JPM kawakaba kila kona. hawana ujanja tena hari aondoke 2025
 
Haha kwahiyo vijana wa Lumumba leo hii hamna imani na CCM (platform iliyomuweka huyo Mtu ikulu)

Inasikitisha na kuchekesha.
 
Kinachojitokeza ni ngonjera kuliko hoja. Nadhani mgawa bk 7, keshaanda malipo. Wahi.
Ccm ni Taasisi kubwa sana

Msilinganishe Ccm na Vicoba vyenu vya Chadema, ACT na CUF

John Magufuli ni Ccm na Ccm ni John Magufuli
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nduli, dikteta, mwizi, muongo, mtekaji, mtesaji, mvunja katiba, MUUAJI unampenda vipi!? 😳😳😳
ccm iko madarakani miaka 60 nchi ina utajiri mkubwa wa maliasili lakini hatuna chochote cha kujivunia. Utaipenda vipi ccm!? 😳😳

mkuu huipendi CCM, humpendi JPM au hupendi Vyote.
Usiwazuie wanaompenda JPM kumpenda mkuu.
Kuna mwanakijiji mmoja alinipga mkwara akinisikia namsema vibaya atanishughulikia.
Lazima ujue kuna watu wanampenda mno
 
Watanzania hawaitaki kabisa CCM, Mungu saidia litoke hili joka.

Kweli ww ni matundu ya Choo.

Poleni watumishi
 
Wengi wa hiyo ni waongo. Wanaogopa kusema hawamtaki. Wanaogopa marisasi beh
mkuu huipendi CCM, humpendi JPM au hupendi Vyote.
Usiwazuie wanaompenda JPM kumpenda mkuu.
Kuna mwanakijiji mmoja alinipga mkwara akinisikia namsema vibaya atanishughulikia.
Lazima ujue kuna watu wanampenda mno
 
Unasifia udikteta?
sio nchi hii na waTZ hawa. CCM ikishindwa kwa mshangao nitachukua hadi kadi nijiunge na chama hicho kipya na kikuukuu cha upinzani.

Tuwe wakweli. hawa jamaa JPM kawakaba kila kona. hawana ujanja tena hari aondoke 2025
 
Nimejaribu kuwaza.
Nikipita kijijini na mitaani nikiangalia maoni nje ya mitandao huyu Bwana anakubalika kuliko hata hiyo CCM.

Kwa hatua iloyofika, CCM ndiyo inapaswa kujipendekeza kwa JPM kuliko JPM kubembeleza wanaCCM wamuunge mkono.

Yote kwa Yote, Natamani 2020 nione mambo mengi yasiyoya kawaida na mazoea kuliko chaguzi zote ila amani yetu ibaki kibindoni.

Uhakika nilionao wanaCCM hata wanyukane vipi hawawezi kuhatarisha amani ya nchi. Ila wengine nje ya hao sina imani nao.
Kama anakubalika hata inje ya ccm c anzishe tu chama chake ili agombee kwa raha zake. Mtu asikudanganye Magufuli hakushinda kiahalali 2015. Bila Mkapa, Kikwete Magufuli kwasasa angekuwa waziri au mkuu wa wilaya
 
Back
Top Bottom