Testar
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 7,461
- 12,216
- Thread starter
- #21
Hao ni wale waliotofautiana na matakwa ya magharibi.......Angalia marais wa maziwa makuu pamoja na yule wa Angola.Hata west Africa kuna baadhi ya ving'ang'anizi wa madaraka lakini hawaguswi simply kwa sababu hawajahatarisha maslai ya wazungu.Mkuu Gadaffi nani kamtoa? Osama? Kabila je? Na wengine