Rais Magufuli akanusha kuhusika na uzuiaji wa mizigo ya mama Salma Kikwete

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
19,685
22,694
Ni kupitia Taasisi ya UWAMA inayoongozwa na mke wa Rais mstaafu Mh Jakaya Kikwete, mama Salma Kikwete.

Chanzo : TBC
 
Watatoa matamko, watakana matamko, watajijua wenyewe, na wavimbe wapasuke, acha waisome namba eeeeeeeh.
Chama Cha Matamko (CCM).
 
Leo ni tarehe 4 ila ukihesabu idadi ya makanusho kwa mwezi huu wa dec pekee ni zaidi ya nane, wastani wa makanusho mawili kwa siku!
 
Magufuli is simply lost;badala ya kuhangaika na kiwanda cha Dangote kufungwa yeye anavutiwa na kigodoro cha Mama Salma duh...kweli jogoo wa shamba hawiki mjini!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Magufuli akanusha kwamba mshahara wake kwa mwaka ni shilingi 403 million. Magufuli akanusha kwamba katika mshahara wake wa milioni 403 million hakatwi kodi sasa amesema ataitoa salary slip yake hadharani ili kuonyesha kwamba mshahara wake kwa mwaka haufiki hata milioni 110 na kodi unakatwa kila mwezi.

Leo ni tarehe 4 ila ukihesabu idadi ya makanusho kwa mwezi huu wa dec pekee ni zaidi ya nane, wastani wa makanusho mawili kwa siku!
 
Magufuli is simply lost;badala ya kuhangaika na kiwanda cha Dangote kufungwa yeye anavutiwa na kigodoro cha Mama Salma duh...kweli jogoo wa shamba hawiki mjini!
Kazi kwelikweli
 
Back
Top Bottom