Unaweza kuwadanganya watanzania mda fulani lakini huwezi kuwafanya wajinga mda woote....Hatimae yule Hakimu aliyemfunga Sugu nae ameingia katika mkumbo ule ule wa kupandishwa cheo na kuwa jaji (Jiwe kaagiza aletewe jina lake kati ya wale wanaopendekezwa kuwa majaji)....kama mwenzake yule aliyewafunga wakina Mbowe....mara hii wamepitia mgongo wa kakesi fulani kule Mbeya ka "kulawiti" Kauli mbiu ya leo...Mie nawapenda watanzania woote bila kujali vyama vyao...ogopa mtu mnafiki siku zoote bora mchawi...Ehe mora liongoze Taifa Letu...