Rais Magufuli akamilisha ziara mikoa ya Kusini, atua Dar

Hapa kuna utata raisi wangu please toa maneno kesho coz wanakuchafua na kukuona una double standard kama makonda haeleweki weka kando na useme sababu ili iwe mfano kwa wengine
 
Hao kina James Sianga hawaendi kwenye ibada? Acha zako!! Ameomba poo anajipanga kuomba apumzike! Serikali ni mfumo hata ukibebwa kama ki kitu kiko wazi hivi hakuna jinsi lazima aende tuuu!!! Serikali haina ubia na mtu mwenye makosa tena ya Jinai!!! Ameibukia kanisani Kimara (Bashite).....ni aibu sana maana watu wanaunganisha dots atashindwa apambane na nani amuache nani!!! Kama Mama yake......aliwahi kugombea udiwani kwa majina ya Mama Bashite haina jinsi tena!! Fuatilia mwanahalisi week ijayo..kila kitu waziii
Naomba ufanunuzi kidogo hivi "Mama Bashite" ni jina na mtu anaweza kulitumia kugombea udiwani kutumia jina hilo..?
 
Mmeshatolewa kwenye reli hapo, Najua Watanzania watatumia zaidi ya siku 3 kujadili kwa nini Rais Magufuli apokelewe na Kaimu Mkuu wa Mkoa badala ya Mkuu wa Mkoa.
 
weee nimeamka hapa ninyonyeshe nimekuona rafiki upo? leo unamkana makonda wakati mlikuwa mnakula pamoja? .teh teh
Hahaahahah...... Sijamkana, mimi na yeye ndugu moja. Nimekuwa naye kisiasa na mpaka sasa nipo naye. Kuvimba macho ni kawaida..
Vp lakini, za miaka? Nilikumiss sana.
 
Hahaahahah...... Sijamkana, mimi na yeye ndugu moja. Nimekuwa naye kisiasa na mpaka sasa nipo naye. Kuvimba macho ni kawaida..
Vp lakini, za miaka? Nilikumiss sana.
nipo bna nanyonyesha hapa si unajua tena kulea wajukuu kazi? vipi lakini ametumbuliwa au bado yupo?
 
nipo bna nanyonyesha hapa si unajua tena kulea wajukuu kazi? vipi lakini ametumbuliwa au bado yupo?
Hongera sana kwa mtoto. Nipo mzima wa kheri kabisa. Nimeongezewa majukumu kwa sasa ndio maana nakosa hata muda wa kuingia humu.
 
Daudi bashite alikuwa wapi hadi hakumpokea mkuu wake. au ndio alikuwa ibadani KKT anamwaga Michozi muda huo
 
Mmeshatolewa kwenye reli hapo, Najua Watanzania watatumia zaidi ya siku 3 kujadili kwa nini Rais Magufuli apokelewe na Kaimu Mkuu wa Mkoa badala ya Mkuu wa Mkoa.
Kama uteuzi wa Salma Kikwete haukuzima huu moto ujue Bashite anakwenda na maji....
 
Hongera sana kwa mtoto. Nipo mzima wa kheri kabisa. Nimeongezewa majukumu kwa sasa ndio maana nakosa hata muda wa kuingia humu.
sio mtoto watoto.asante . bashite kesho atakuwepo ofsini au utakaimu?
 
sio mtoto watoto.asante . bashite kesho atakuwepo ofsini au utakaimu?
Hongera sana. Kwa kweli wanastahili kuwa watoto cuz its like 6 years sijakusikia. Mimi simfahamu Bashite ni nani!!
 
Back
Top Bottom