Rais Magufuli ajitetea baada ya kupitia uzi wangu hapa JamiiForums kuhusu Uwanja wa Omukajunguti

hakuna alowahi sema juu ya uwanja wa kajunguti hata Pascal Mayalla anajua
Mkuu Britanicca, ni kweli sio tuu hakuna mwana jf yoyote aliyewahi kuzungumzia Omukajunguti, bali hakuna mwana jf mwingine yoyote anayemjua yule Katto wako.

Kupitia bandiko lako hili, Kwanini Chato International Airport na si Omukajunguti international Airport? Kagera inaonewa sana - JamiiForums
wewe ndiye mtu wa kwanza na wa mwisho kutueleza humu taarifa kumhusu Katto!.
KAGERA KARAGWE NI KWENU KWA MZEE ..., NA JINA LAKO LA KIHAYA NI KATO (wengi hawajui hii),
P.
 
Mkuu Britanicca, ni kweli sio tuu hakuna mwana jf yoyote aliyewahi kuzungumzia Omukajunguti, bali hakuna mwana jf mwingine yoyote anayemjua yule Katto wako.

Kupitia bandiko lako hili, Kwanini Chato International Airport na si Omukajunguti international Airport? Kagera inaonewa sana - JamiiForums
wewe ndiye mtu wa kwanza na wa mwisho kutueleza humu taarifa kumhusu Katto!.

P.
Mkuu mjadala wa kato nauogopa sana cha muhimu tushirikiane banyamulenge wasiongeke
 
Information is power, kitendo tuu cha kumjua Katto ni nani na asili yake halisi ni wapi, it's important info ya sio kukufanya uogope bali kuitumia hiyo info as power gambit kuwa utaitunza bila kuitoa ili nawe utunze!.

P.
 
Back
Top Bottom