Rais Magufuli ajitetea baada ya kupitia uzi wangu hapa JamiiForums kuhusu Uwanja wa Omukajunguti

britanicca

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Messages
6,739
Likes
8,962
Points
280
britanicca

britanicca

JF-Expert Member
Joined May 20, 2015
6,739 8,962 280
Mwaka jana nilileta uzi unaolaumu kwamba kwanini tujenge CHATO INTERNATIONAL AIRPORT badala ya ule wa Kagera OMUKAJUNGUTI ambao na hela na makadirio yalishafanyika siku nyingi ? katika uzi uo nilitanabaisha jinsi gani serikali inavyokuwa sahaulifu na kutotimiza ahadi zake kwa wananchi.

Kuna walioshambulia kwamba haikuwa na maana kuweka uwanja maeneo yale,
Yeye Magufuli akiwa waziri wa ujenzi wakati wa Mkapa awamu ya tatu ndo alisimamia upitishaji wa maazimio ya kujenga uwanja ule maeneo yale, sasa nini kimebadirika?
Katika swali lililoulizwa na Mbunge DR diodorus Kamala mwaka 2005 akiuliza ni jinsi gani serikali imejiandaa juu ya ujenzi wa uwanja huo.

majibu kutoka kwa waziri wa kipindi kile Mheshimiwa Magufuli akajibu zimetengwa takriban bilion 25 na serikali kwa ajili ya ujenzi wa uwanja huo. Sasa aliyekuwa waziri kipindi kile atakuwa anajua kiasi hicho kilienda wapi, maana ni miaka 12 mpaka sasa pale site hakuna hata Kokoto moja, tuelezwe hela ilienda wapi

katika uzi wangu ambao magufuli kaujibu ni huu majibu yake ni kwamba bora upanuliwe uwanja wa bukoba badala ya kujenga mwingine,

Kwanini Chato International Airport na si Omukajunguti international Airport? Kagera inaonewa sana

Si mtuhumu hata kidogo waziri wa ujenzi wa kipindi hicho maana nimekuwa nikifuatilia upigaji wake kazi na kumpa heshima na credity inapobidi na yeye anajua tumekutana mara kadhaa sehem mbali mbali na nimefurahi kazi anayoifanya , lakin sasa atuambie hela iliyotengwa kipindi hicho nani aliipoteza? sina shaka kabisa na usafi wa mheshimiwa rais wangu ambaye niliwahi kuandika uzi wa kumpa sifa kulingana na mazingira tuliyowahi kutana, na ndo rais aliyefaa kwa wakati huu kuinyoosha Tanzania,

Ukweli kuhusu kona tulokutana na bwana mkubwa 2014

Mkuu wangu wa nchi kanifurahisha hapa alipojibu swali la waamiaji haramu mkoani kagera maana wamekuwa wanasumbua sana , na ili limepigiwa kelele sana hasa watu wa Rwanda Bnayamulenge wamesumbua sana maeneo ya kagera na nimeisema uzi huu hapa chini

Wanyarwanda wenye influence na siasa za Tanzania hapa panawahusu

Pia mkuu wangu wa nchi nachukua fursa hii kuona pamoja na wanabukoba kufanya makosa kumuondoa Kagasheki hujawa na kinyongo nao kabisa maana walifanya makosa makubwa mno kumuondoa mtu ambaye ulimpenda sana utendaji wake wa kazi kipindi mnatokea mkoa mmoja wa kagera kabla hujafanya juhudi za kuiondoa Chato Kagera , na niliwaonya wanabukoba juu ya kosa ilo mwaka jana kupitia uzi wangu maalumui

Jimbo La Bukoba Mjini Mmefanya Makosa Makubwa Kumuondoa Sued Kagasheki,

Tunajua binadamu huwa na mapungufu si malaika hata wewe kuna sehemu unakosea, na ndo maana hata uchaguzi ukifanyika leo bado nitakupa kura yako endapo UKAWA wataendelea kusimamisha watu wasioleleweka kama mwaka 2015, nakukubali sana ndo maana hata kwenye uzi wangu niliwahisema kwamba pamoja na mapungufu yako ya kibinadamu ilibidi nikuchague ndo ulikuwa bora kati ya waliosimamishwa mwaka 2015, ila naomba ukubali ushauri wa watu wanaokusogelea, usipende kusikia unayoyapenda tu, hata usiyoyapenda yakubali,

Pamoja na mapungufu ya Magufuli ilibidi nimchague maana ndo alikuwa na angalau kati ya waliogombea

mwaka 2015 ziliibuka figisu za kwako kunyimwa uenyekiti wa CCM nilishauri pia kwamba wasijichanganye CCM wakafanya kosa la kukunyima uenyekiti maana we ndo unaweza safisha ccm ikawa mpya,

Kipi kinapaswa kuheshimiwa? CCM au serikali?

MWISHO MKUU NAOMBA UPITIE USHAURI HUU KWENYE UZI HUU HAPA LA SIVYO CCM ITAPOTEA SOON

Ombi maalumu kwa Rais Magufuli juu ya Nape, Polepole na Makongoro Nyerere

VIDEO YAKO UKIWA KAGERA UMEGUSIA HAYO MENGI MNO

britanicca
 
aloycious

aloycious

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2012
Messages
5,566
Likes
416
Points
180
aloycious

aloycious

JF-Expert Member
Joined Dec 17, 2012
5,566 416 180
Tehe tehe tehe! Dah ha ha ha ha
 
Raphael wa Ureno

Raphael wa Ureno

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2016
Messages
6,330
Likes
10,397
Points
280
Raphael wa Ureno

Raphael wa Ureno

JF-Expert Member
Joined Jul 12, 2016
6,330 10,397 280
Mr Ebbo R. I. P
 
ukhuty

ukhuty

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2016
Messages
15,496
Likes
38,165
Points
280
ukhuty

ukhuty

JF-Expert Member
Joined Oct 9, 2016
15,496 38,165 280
japo sijamalizia kuusoma uzi wote
 
mitale na midimu

mitale na midimu

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2015
Messages
7,896
Likes
12,835
Points
280
mitale na midimu

mitale na midimu

JF-Expert Member
Joined Aug 26, 2015
7,896 12,835 280
umejuaje kama kapitia
 
MAGALEMWA

MAGALEMWA

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2015
Messages
4,326
Likes
2,511
Points
280
Age
48
MAGALEMWA

MAGALEMWA

JF-Expert Member
Joined Jul 8, 2015
4,326 2,511 280
Mwaka jana nilileta uzi unaolaumu kwamba kwanini tujenge CHATO INTERNATIONAL AIRPORT badala ya ule wa Kagera OMUKAJUNGUTI ambao na hela na makadirio yalishafanyika siku nyingi ?

Katika uzi uo nilitanabaisha jinsi gani serikali inavyokuwa sahaulifu na kutotimiza ahadi zake kwa wananchi.

Kuna walioshambulia kwamba haikuwa na maana kuweka uwanja maeneo yale.

Yeye Magufuli akiwa waziri wa ujenzi wakati wa Mkapa awamu ya tatu ndo alisimamia upitishaji wa maazimio ya kujenga uwanja ule maeneo yale, sasa nini kimebadirika?

Katika swali lililoulizwa na Mbunge DR diodorus Kamala mwaka 2005 akiuliza ni jinsi gani serikali imejiandaa juu ya ujenzi wa uwanja huo.

majibu kutoka kwa waziri wa kipindi kile Mheshimiwa Magufuli akajibu zimetengwa takriban bilion 25 na serikali kwa ajili ya ujenzi wa uwanja uo,
Sasa aliyekuwa waziri kipindi kile atakuwa anajua kiasi hicho kilienda wapi, maana ni miaka 12 mpaka sasa pale site hakuna hata Kokoto moja, tuelezwe hela ilienda wapi

katika uzi wangu ambao magufuli kaujibu ni huu majibu yake ni kwamba bora upanuliwe uwanja wa bukoba badala ya kujenga mwingine,

Kwanini Chato International Airport na si Omukajunguti international Airport? Kagera inaonewa sana

Si mtuhumu hata kidogo waziri wa ujenzi wa kipindi hicho maana nimekuwa nikifuatilia upigaji wake kazi na kumpa heshima na credity inapobidi na yeye anajua tumekutana mara kadhaa sehem mbali mbali na nimefurahi kazi anayoifanya , lakin sasa atuambie hela iliyotengwa kipindi hicho nani aliipoteza? sina shaka kabisa na usafi wa mheshimiwa rais wangu ambaye niliwahi kuandika uzi wa kumpa sifa kulingana na mazingira tuliyowahi kutana, na ndo rais aliyefaa kwa wakati huu kuinyoosha Tanzania,

Ukweli kuhusu kona tulokutana na bwana mkubwa 2014

Mkuu wangu wa nchi kanifurahisha hapa alipojibu swali la waamiaji haramu mkoani kagera maana wamekuwa wanasumbua sana , na ili limepigiwa kelele sana hasa watu wa Rwanda Bnayamulenge wamesumbua sana maeneo ya kagera na nimeisema uzi huu hapa chini

Wanyarwanda wenye influence na siasa za Tanzania hapa panawahusu

Pia mkuu wangu wa nchi nachukua fursa hii kuona pamoja na wanabukoba kufanya makosa kumuondoa Kagasheki hujawa na kinyongo nao kabisa maana walifanya makosa makubwa mno kumuondoa mtu ambaye ulimpenda sana utendaji wake wa kazi kipindi mnatokea mkoa mmoja wa kagera kabla hujafanya juhudi za kuiondoa Chato Kagera , na niliwaonya wanabukoba juu ya kosa ilo mwaka jana kupitia uzi wangu maalumui

Jimbo La Bukoba Mjini Mmefanya Makosa Makubwa Kumuondoa Sued Kagasheki,

Tunajua binadamu huwa na mapungufu si malaika hata wewe kuna sehemu unakosea, na ndo maana hata uchaguzi ukifanyika leo bado nitakupa kura yako endapo UKAWA wataendelea kusimamisha watu wasioleleweka kama mwaka 2015, nakukubali sana ndo maana hata kwenye uzi wangu niliwahisema kwamba pamoja na mapungufu yako ya kibinadamu ilibidi nikuchague ndo ulikuwa bora kati ya waliosimamishwa mwaka 2015, ila naomba ukubali ushauri wa watu wanaokusogelea, usipende kusikia unayoyapenda tu, hata usiyoyapenda yakubali,

Pamoja na mapungufu ya Magufuli ilibidi nimchague maana ndo alikuwa na angalau kati ya waliogombea

mwaka 2015 ziliibuka figisu za kwako kunyimwa uenyekiti wa CCM nilishauri pia kwamba wasijichanganye CCM wakafanya kosa la kukunyima uenyekiti maana we ndo unaweza safisha ccm ikawa mpya,

Kipi kinapaswa kuheshimiwa? CCM au serikali?

MWISHO MKUU NAOMBA UPITIE USHAURI HUU KWENYE UZI HUU HAPA LA SIVYO CCM ITAPOTEA SOON

Ombi maalumu kwa Rais Magufuli juu ya Nape, Polepole na Makongoro Nyerere

VIDEO YAKO UKIWA KAGERA UMEGUSIA HAYO MENGI MNO

britanicca
Kwani huyu "mbumbumbu na mshamba" mnajibizana humu JF? Basi kuna haja ya kuwaachia JF.
 
E

El cholo

Senior Member
Joined
Oct 30, 2016
Messages
181
Likes
223
Points
60
Age
28
E

El cholo

Senior Member
Joined Oct 30, 2016
181 223 60
Samahani asee,wewe si unaundugu na Kelvin Isaya?
 
Forum statistics

Threads 1,213,080
Members 461,948
Posts 28,466,367