Rais Magufuli ajijengea heshima kubwa duniani kote

Ngamanya Kitangalala

JF-Expert Member
Sep 24, 2012
501
1,214
" Nilikuwa nineenda kwenye shughuli za kikazi nchini Panama , nikiwa jijini Panama City, niliingia ndani ya mgahawa mmoja, nilipojitambulisha natoka Tanzania, mmiliki wa mgahawa aliniuliza You come from Tanzania? Tanzania of Magufuli? Magufuli is the king of Africa

Mh Magufuli* ni Rais aliyejijengea heshima kubwa duniani kote, kwa misimamo yake imara, na hatua anazochukua katika kupambana na rushwa"

Mzalendo
 
Amekuwa maarufu kwa lipi hasa?
Kununua mandege mabovu?
Kutumia jeshi kununua korosho?
Kuhusishwa na watu wasiojulikana?
Kujiita jiwe, kichaa, dereva wa lori?
Kujenga uwanja wa ndege wa kisasa porini?
Kutapeliwa makinikia na wanaume wa Barrick?
Kudaiwa kukwapua Trilioni 1.5?

Embu njoo na ufafanuzi wa kina na wenye maana, sio kujiandikia tu hapa.
 
" Nilikuwa nineenda kwenye shughuli za kikazi nchini Panama , nikiwa jijini Panama City, niliingia ndani ya mgahawa mmoja, nilipojitambulisha natoka Tanzania, mmiliki wa mgahawa aliniuliza You come from Tanzania? Tanzania of Magufuli? Magufuli is the king of Africa
Inabidi ujiulize-fikiria You come from Central African Republic. CAR of Bokassa, Bokassa is the King of CAR or rather Africa. HAPA ingawapo maneno ni yale yale watu tofauti watayasoma kutegemea wamevaa miwani gani. Tafakari Africa hatuna Ma-kingi.
 
" Nilikuwa nineenda kwenye shughuli za kikazi nchini Panama , nikiwa jijini Panama City, niliingia ndani ya mgahawa mmoja, nilipojitambulisha natoka Tanzania, mmiliki wa mgahawa aliniuliza You come from Tanzania? Tanzania of Magufuli? Magufuli is the king of Africa

Mh Magufuli* ni Rais aliyejijengea heshima kubwa duniani kote, kwa misimamo yake imara, na hatua anazochukua katika kupambana na rushwa"

Mzalendo
Hata Iddi Amini alaitwa field Marshall of Africa mpaka leo anajulikana sana kuliko Raisi yoyote Africa kwa hilo sio issue....Issue nikuamba anapendwa nawana nchi wake inaweza kuweka uchaguzi huru wa wa haki....hawezi kudhubutu loh!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku watoto wako wakikutana na hili bandiko watajisikia aibu sana. Sio kwa kudanganya kwako kuwa uliwahi kwenda Panama...NO, for the rest.
 
Tuache unafiki mh Jpm anafanya kazi, kama binadamu mapungufu hayakosekani ila ni madogo ukilinganisha na utendaji wake
Kwa huyu mapungufu anatengenezewa na wabaya wake baada ya kushindwa kumu win kama walivyofanya kwa watangulizi wake.

Anapogundua Hali hii Kama binadamu ndipo nae huchukua hatua kali kama za kuzuia harakati za kisiasa kila uchwao. Cc Zitto, Lissu, Mbowe it al

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom