Anapenda Uongo huyu, ahamie Dodoma Kimya Kimya Bila kutuonesha kwenye TV? Haiwezekani😀😀Rais Magufuli amejitokeza katika kitongoji cha Sokoine jijini Dodoma kwaajili ya kujiandikisha kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Baada ya kujiandikisha, amewaambia wakazi wa eneo hilo kuwa kwasasa yeye ni mwenzao na ameshahamia rasmi kwenye ikulu ya Chamwino. Hivyo yeye ni mwenzao.
Amewaambia wananchi kuwa amehamia Ikulu ya Chamwino ingawa bado haijakamilika rasmi.
Chanzo: Chanel TenView attachment 1230555
WaTZ sisi ni very cheap kwa hiyo na we unaamini kwamba magufuli kaamia Dodoma!! Uraisi una mambo mengi kubwa zaidi ya yote ni usalama, DOM usalama kwa rais ni mdogo mnoo..kama kuna jambo kubwa ambalo raisi amewamaliza nalo watangulizi wake ni kuhamia rasmi dodoma.kwa hili hana haja tena ya kufanya kampeni.kila mtazania ataikuta serikari kwa safari ya masaa tuu toka kote katika hii Jamhuri.
Lkn si tuna ndege 9???Mkuu route ya Katavi imeharibu ratiba zote za ndege zaidi ya masaa 14.
Isafiri na ratiba zote kuanzia leo ni vululu vululu
WaTZ sisi ni very cheap kwa hiyo na we unaamini kwamba magufuli kaamia Dodoma!! Uraisi una mambo mengi kubwa zaidi ya yote ni usalama, DOM usalama kwa rais ni mdogo mnoo..
Mbona hilo lilikuwa wazi. Pogba anazitumia zile ndege kadri anavyojisikiaIle ruti ya Katavi kumbe iliuwa ya kumchukua mheshimiwa
HaituhusuRais Magufuli na mke wake mama Janeth leo wamejiandikisha katika uchaguzi wa serikali za mitaa pale mtaani kwake Chamwino katika kitongoji cha Sokoine mjini Dodoma.
Rais Magufuli ambaye amefika mtaani kwake akitokea ziarani Mpanda imemlazimu kupanga foleni baada ya kuwakuta jirani zake wakiwa katika mstari wakiendelea kujiandikisha.
Bado siku 2 hima hima watanzania tukajiandikishe
Source Channel ten tv
Maendeleo hayana vyama!
Kwa bahati mbaya yeye ndio sababu ya watu kutokujiandikisha.
Hingereni kwa mkakati kabambeUnauliza makofi polisi
Tukuulize Wewe kwa mfano utaenda Dodoma kufanya nini? What does kuhamia Dodoma kunakusaidia wewe?kama kuna jambo kubwa ambalo raisi amewamaliza nalo watangulizi wake ni kuhamia rasmi dodoma.kwa hili hana haja tena ya kufanya kampeni.kila mtazania ataikuta serikari kwa safari ya masaa tuu toka kote katika hii Jamhuri.
Ahame na Bashite wake walau watu tushike pesa sasa
Hivyo ni visingizio vya kuogopa kumwaga kwenye boks la kura
Atapiga kura mwenyewe. Sisi hatutaki. We have more important things to do...Rais Magufuli na mke wake mama Janeth leo wamejiandikisha katika uchaguzi wa serikali za mitaa pale mtaani kwake Chamwino katika kitongoji cha Sokoine mjini Dodoma.
Rais Magufuli ambaye amefika mtaani kwake akitokea ziarani Mpanda imemlazimu kupanga foleni baada ya kuwakuta jirani zake wakiwa katika mstari wakiendelea kujiandikisha.
Bado siku 2 hima hima watanzania tukajiandikishe
Source Channel ten tv
Maendeleo hayana vyama!