Rais Magufuli aivunja Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam na kuipandisha hadhi Halmashauri ya Manispaa ya Ilala

Kazi kweli kweli. Isije kutokea wale washabiki wa " tumejenga SGR, tumenunua ndege barabaraba kilomta mraba nyingi tu..n.k...wakaongeza na hili ya kuwa sasa anajenga jiji la Dar-es-Salam "ilala".

Mkumbuke waliahidi kuuza majengo mengi ya serikali ambayo yalikuwamo katika "Wilaya" ya Ilala.
Je, yaliyojiri yata rahisisha au?
 
Rais anamamlaka kikatiba.hata Kama wangekuwepo ma meya kutoka opposition,katiba inamruhusu kutoa maamizi ikiwa ni ya dharula,au maslahi mapana kwa taifa.hivyo yuko sahh. ilala kuwa ni jiji nikwa maslahi mapana kwa mkoa wa dar.na viunga vyake.
Kila kitu yuko sahihi ...we cannot have our own radical opinion .
 
Habari wadau,

Naona mji wa kibaha umeingiliwa na Dar, watu wengi wanafanya kazi Dar, wanaishi kibaha na miwili moja, kwanini isirudishwe Dar es Salaam halafu Chalinze iwe Makao makuu ya Mkoa wa Pwani.
 
Habari wadau , naona mji wa kibaha umeingiliwa na dar , watu wengi wanafanya kazi dar , wanaishi kibaha na miwili moja , kwanini isirudishwe dar es salaam , halafu chalinze iwe makao makuu ya nkoa wa Pwani
Ni wazo zuri. Kisarawe iwe Ilala na Maneromango iamie kuwa makao makuu ya Wilaya ya Kisarawe
 
Habari wadau , naona mji wa kibaha umeingiliwa na dar , watu wengi wanafanya kazi dar , wanaishi kibaha na miwili moja , kwanini isirudishwe dar es salaam , halafu chalinze iwe makao makuu ya nkoa wa Pwani
Ni kweli kabisa
 
Kuigawa gawa nchi haina faida,ni upotezaji wa rasilimali ambazo zingeweza kutumika vzr zaidi,
Kugawa maeneo ya nchi kunaongeza vipi ajira,viwanda,vyuo vikuu,usalama,kilimo,afya?
Mfano Morogoro,pwani,kitu gani,hitaji gani ambalo haliwezi kujurikana ukiwa Dar?
Morogoro,pwani,ilitakiwa iwe sehemu ya Dar,na kwa vijana walizaliwa juzi,Dar ilikuwa na wilaya tatu tu,Ilala,Kinondoni,Temeke,kipindi fulani kutoka ubungo kwenda mbagara lazima upande gari tatu,ubungo buguruni,buguruni Temeke,Temeke mbagara,sasa hv gari moja tu,
Kinachohitajika ni Miundombinu tu,unaongeza wilaya,lakini Eno lipo vile vile,kulikuwa hakuna haja ya kuifanya ubungo kuwa wilaya,hata kama Wilayani ni Morogoro ni Swala la Miundombinu tu.huduma unazozitaka unaweza kuzipata kwa mtandao.
Wajuzi wa mambo,ebu nikuzeni mala ya mwisho umesikia USA,au UK,Canada,Austalia ikigawa state moja Ili kutengeneza state/jimbo jingine,
 
Sisi bado tunakua , huwez kutulinganisha na USA , hizi hatua wamepita karne nyingi, kibaha maili moja imekuwa Dar es salaam na iko. Karibu mno , kwanini makao makuu ya Pwani yasiwe chalinze , ili mtu wa mkata na bwawani huko aishie chalinze badala ya kufika kibaha miwili moja ?
 
Habari wadau , naona mji wa kibaha umeingiliwa na dar , watu wengi wanafanya kazi dar , wanaishi kibaha na miwili moja , kwanini isirudishwe dar es salaam , halafu chalinze iwe makao makuu ya nkoa wa Pwani
watu watoke ikwiriri hadi chalinze?
 
watu watoke ikwiriri hadi chalinze?
Hahaha watu hawaelewi kuwa Mkoa wa Dar umezungukwa pande zote za ardhini na mkoa wa Pwani, upande mwingine ni bahari tu

Halafu sijui kwanini waliuvunja mkoa wa Pwani kukatengeneza kamkoa kadogo kuliko yote kanakoitwa ka Daslam😂😂
 
Back
Top Bottom