Rais Magufuli aivunja Bodi ya TCRA, amsimamisha Mkurugenzi Mkuu kwa kusababisha hasara ya Bil. 400

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,599
6,669
8919416fd3cd784bb6e0c775d2ab0613.jpg
 
Haya sasa the sagga continues,

Nikutumbua tumbua tu, hata kama hakuna jipu vinatafutwa hata vidonda vinavyotoa usaha arimradi apatikane wa kutumbuliwa maana hatuna sera nyingine zaidi ya KUTUMBUA...!!!

BACK TANGANYIKA
We mjinga kweli... Rais anashugulika kurudisha nchi kwenye mstari nyinyi mna chonga... Upinzani Mwingine bhana... Sasa kipindi mnamwita jk dhaifu mlikuwa na maana ghani
 
Habari hizo zimerushwa hiv punde na ITV. Katika hali inayoonekana kuwa hali kwenye Taasisi mbalimbali serikali kuwa tete leo hii Rais Dr Maguful amemsimamisha Mkurugenz wa tcra na kuvunja bodi kwa kuwa wameisababishia serikali hasara. Amesema Mh Rais kuwa hatasita kuwachukulia watu hatua as long as wanafanya vibaya. Na ameshauri waziri husika ateu kaimu wa nafasi
hiyo.
 

Attachments

  • IMG_20160426_142804_783.JPG
    IMG_20160426_142804_783.JPG
    72 KB · Views: 107
Back
Top Bottom