Rais Magufuli aitaka TAKUKURU kuwachukulia hatua wote wanaojihusisha na rushwa pale wanapokuwa na ushahidi

kwa hiyo akina slaa ndio mahakama!!!! mpelekeni mahakamani nafikiri mnao ushahidi sababu nyinyi mmeendelea kumuita fisadi,sisi wengine tushaacha kumuita fisadi.
Tunafuata ushauri wenu, kumbe nyie kumuweka kwenye list ya mafisadi papa ule ulikuwa uongo, hivyo mlikuwamnataka afukuzwe ccm ili nyie mpate candidate. Serikali haina interest baada ya kujua upinzani ni wapika majungu
 
Tunafuata ushauri wenu, kumbe nyie kumuweka kwenye list ya mafisadi papa ule ulikuwa uongo, hivyo mlikuwamnataka afukuzwe ccm ili nyie mpate candidate. Serikali haina interest baada ya kujua upinzani ni wapika majungu
mbona tunawashauri mumkamate aliyeuza nyumba serikali hamtekelezi?
 
kwani hatumjui tabia yake.bunge yeye mahakama yeye serikali yeye.siyo utawala bora huo
Tunahitaji rais wa kusaidia sheria za taasisi zetu ziwe kiongozi siyo hawa wanao jiona wao ni mabosi na taasisi zetu ni za kuwatumikia. Wanatakiwa wao wenyewe waziogope na wajue wakifanya ujinga watafunguliwa mashitaka na kuchukuliwa hatua bila kujali wao ni nani.
 
mkuu haya mambo ya media tuneyachoka,

watu wote waliohujumu uchumi wa nchi yetu wakamatwe,

halafu wataifishwe mali zao,

ingependeza kuwa specific,

unataja tu kwa mfano,unasema Rais mstaafu Kikwete ama Mkapa warudishe hela za watanzania shilingi bilioni kadhaa

au,

tumeseize billions kadhaa kwenye vichwa vya treni,

pesa hii itaboresha miundo mbinu ama sector ya afya

next time mheshimiwa Rais,sio kuwafunika hao wadhulumu nchi kwa kusema 'kuna watu@be specific Fulani na Fulani wa escrow wamekamatwa na kiasi Fulani na zimeenda kwenye project Fulani,(tunataka figures,names sio kufunika funika)
 
Lazima ajipitishe pitishe kila mara ili kujionyesha anafanya kazi. Watu wanavunjiwa nyumba huku kukiwa na pingamizi la mahakama yuko kimyaaa!

Si aliwateua watendaji nakuwaapisha majuzi si angewaambia anchotaka kitendeke tu pale ikulu na safu nzima ya juu ya PCCB ilikuwa pale. Hizi kiki nyingine ni za baiskeli
 
Raisi wangu utateseka sana sana na Nchi hii, dawa ni ile katiba ipitishwe itakurahisishia kila kitu na utakuwa na kazi ndogo sana. Uwe makini raisi wangu, kwani wasioipenda ni wana ccm wenzako wasio wazalendo na ambao ni mijizi.
 
Mafisadi wanaiba kwa akili wakishirikiana na maccm, iyo mahakama haiwezi kumpata mtu. Angalia mlolongo wa mafisadi, mfano fisadi lu.gum.i kipo bega kwa bega na maafisa wa jeshi la polisi, wameshindwa kulibana Tra inauza nyumba sasa.
 
Back
Top Bottom