Rais Magufuli aitaka bodi ya Pamba kuhamia mikoa inayolima Pamba la sivyo watakuwa wamejifukuzisha!

Ninalifahamu vizuri sana hilo, hao wataalamu wanafanya kazi gani sasa kama boss wao ndio ana~act hivi? Hivi kwa anayoyafanya unaweza ukakaa na kusema ana wataalamu waliosa wanamshauri? Yaweza kua wanamshauri lakini hataki kufuata ushauri wao.

Inabidi ujue kua kusoma sana sio kua na maarifa mengi, unaweza ukawa unasoma kitu kimoja tu, wao wamesoma fani zao na mimi nimesoma ya kwangu, huwezi linganisha apples na oranges, ni two completely different items.

Na mtu kufanya kazi kwa Rais hakumfanyi superior academically hata kidogo, hiyo typical akili ya mtanzania unayoongelea naona wewe ndio mtumwa.
Tafuta dawa ya kutibu negativity, ni ugonjwa unaokusumbua tena inaonekana kwa miaka kadhaa.
 
Ninalifahamu vizuri sana hilo, hao wataalamu wanafanya kazi gani sasa kama boss wao ndio ana~act hivi? Hivi kwa anayoyafanya unaweza ukakaa na kusema ana wataalamu waliosa wanamshauri? Yaweza kua wanamshauri lakini hataki kufuata ushauri wao.

Inabidi ujue kua kusoma sana sio kua na maarifa mengi, unaweza ukawa unasoma kitu kimoja tu, wao wamesoma fani zao na mimi nimesoma ya kwangu, huwezi linganisha apples na oranges, ni two completely different items.

Na mtu kufanya kazi kwa Rais hakumfanyi superior academically hata kidogo, hiyo typical akili ya mtanzania unayoongelea naona wewe ndio mtumwa.
Tumeshawazoea kila kitu mnapinga pinga tu ili mradi mmeropoka, hivi kwa akili hii kweli mngechukua nchi mngetupeleka wapi, hivi hauoni kwa TANAPA kuwa Arusha karibu vivutio maarufu vya Tz inavyosaidia, sasa kwa nini isiwe hivyo pia kwa bodi ya Pamba?
 
Dar es Salaam ndio kuna bandari ya kusafiria hiyo pamba. Hii bodi ni ya kimasoko zaidi kuliko uzalishaji ambao vyama vya ushirika ndio vimeshindwa kabisa. Angeanza na hao wa uzalishaji kwanza

Kwa hiyo ukiwa Shinyanga huwezi kufanya masoko na kuisafirisha pamba?
 
Kama TANAPA kuwa mbugani kuna tija, ilikuwaje twiga walipandia ndege hapo jirani Kilimanjaro bila wao kushtuka?
Haaaapooo sasa.....wizara ya ilimo iende kijijini kwenye kilimo....ihamishiwe Kibaigwa kwenye Mahindi.
 
Well said Angalau waende hata Mwanza Dar mbali sana kama ilivyo TANAPA japo kuna mbuga morogoro ila Arusha ndio makao yao
 
Hayo ni maamuzi mazuri waende kule wanakolima zao husika,mfano mzuri ni bod ya kahawa makao yao yako wanakolima kahawa
 
Kwa hiyo ukiwa Shinyanga huwezi kufanya masoko na kuisafirisha pamba?
vipi mambo ya kuprocess pamba inapotaka kuwa exported?.
Au mambo ya kupokea madawa ya kilimo cha pamba na kuyafanyia distribution,mkoa upi una logistic ya kueleweka zaidi ya dar?.
Ukiweka bodi tuseme simiyu au meatu,itabidi tena dar iwepo ofisi
 
Uchakataji wa pamba unafanyika Dar? Nani anaingiza madawa ya kilimo cha pamba?

Safari hii mmekosa hoja kabisa. Magufuli kawaziba midomo mnabaki kutoa viroja.
 
Mwanza ipo bana round about kubwa pale karibu na Bank kuu wewe ndio muongo , mwanza ipo na nimefanya kazi pale mama yangu anafanya kazi pale ila kwa sasa ameacha na mama yangu mkubwa pia mpaka leo hii anafanya kazi pale ni jengo kubwa tu acha uongo wewe
 
Bodi ya Kosho ipo Mtwara, safi sana. Bodi ya chai ipo Dar mashamba yapo Tanga, Kagera, Mbeya na Iringa.

Nashauri bodi zote za mazao zisogee Morogoro kwa sababu mazao yote yanalimwa hapo na rahisi kwenda mikoa mingine.
 
Ni vizuri kukaa karibu na wakulima wa pamba.Mkulu kuna mambo anafanya maamuzi mazuri.Kukandamiza vyama vya upinzani kama best yake anavyofanya simuungi mkono.
Ni kweli, akiwa na msimamo tofauti kuhusu vyama vya upinzani, ataungwa mkono na kila mtu. Anapokandamiza vyama vya upinzani kwa kuwazuia kufanya mikutano yao au kuwawekea masharti ya kwamba mbunge afanye siasa kwa jimbo lake tu na si nje ya jimbo lake - mambo kama haya yanampunguzia goodwill ambayo hata mashabiki wa UKAWA walikuwa nayo kwake.
 
Mkuu, mbona mwepesi wa kulaumu, hii hakika itaongeza ufanisi kwa kiasi, mfano ni Makao makuu ya TANAPA yapo Arusha, kwa sababu ndio sehemu karibu wa National Parks nyingi.sasa angalia ufanisi wa bodi ya pamba na Tanapa utaelewa ni nini Rais analenga.
Binafsi siamini kama Tanapa in ufanisis zaidi ya bodi ya pamba!! Inawezekena unaona hivyo kwa vile wao wana pesa zaidi ya bodi ya pamba!!
 
Dah! Asee!!! Haya, safi sana hii. Kwahiyo Bodi ya Maziwa ihamie kwa wafugaji, Bodi ya Sukari ihamie Kilombero au Kagera, Bodi ya Nyama ijiandae kwenda dodoma au usukumani; ya Korosho nayo Mtwara, Baraza la Mitihani itabidi nalo watafute kwenye mashule mengi wahamie huko. Ghala la Taifa la chakula lihamie Ruvuma au Mbeya au Rukwa;

Wizara nazo zihamie karibu na kwenye shughuli zao, kwa mfano wizara ya nishati na madini ihamie buzwagi, geita, au Mtwara kwenye gesi.
 
Back
Top Bottom