Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Kesi za kodi ambazo zipo katika mahakama mbalimbali nchini, zina thamani ya TZS 4.4 trilioni. Rais Dkt @MagufuliJP amemsihi Jaji Mkuu, Prof. Ibrahim Juma kufanya itakavyowezekana ili kesi hizi zikamilike na serikali iweze kupata stahiki zake.
Sasa haoa haingii mahakama kufanya maamuzi? Muhimili wa mahakama inaingiliwa watu kimyaaa
Sasa haoa haingii mahakama kufanya maamuzi? Muhimili wa mahakama inaingiliwa watu kimyaaa