Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,900
- 95,400
Nakukatalia kuwa hii dawa ya asili waliotoa NIMR ya kutibu Corona kuwa ni sayansi.Nijibu maswali haya ya msingi ya kisayansi yanayohusiana na tiba.Dawa hii imejaribiwa wapi na lini ikaonyesha mafanikio ya kutibu Corona?Mafanikio hayo yalikuwa ni asilimia ngapi?Halafu hata hizo dawa za asili nazo ni sayansi pia, kwani wanachofanya NIMR ni nini kama siyo sayansi?