Rais Magufuli ahutubia wana Kagera: Aitaifisha shule ya Omumwani inayomilikiwa na CCM

Naona yanajirudia tu yale yale ya "hatutajenga nyumba za wananchi, watu wasijinufaishe na misaada. Sijui nimekaa kwenye konstiraksheni indasitiry kwa zaidi ya miaka 20. Sijui hakuna nchi yoyote duniani serikali ikaanza kujenga nyumba za wananchi kwenye majanga.. Naona amerudi kwenye majizi na mafisadi

Namuacha aendelee kuongea mimi naambaa ambaa kama mwewe!

Mbona uyu mzee ni muongo sana? Kila siku Israel inajenga nyumba yeye anasema amna nchi duniani?
 
Nenda kwa Benjamin Netanyahu huko West Bank wamejenga maghorofa ya hatari kwa wana wa Israel
 


Habari wako,
Tuwe pamoja kujuzana yanayojiri Bukoba ambapo Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania anahutubia wakazi wa Bukoba na watanzania kwa ujumla.
=====

Magufuli: Cement imechangwa zaidi ya 30,600 na mabati zaidi 31,000. Wananchi wameshaanza kupewa, wengine wamejengea na wengine wameuza.

Kamati ya maafa Mkae na mfahamu kila senti imeenda wapi, kuna pesa hainekani imetumika wapi.

Magufuli: Hatutajenga nyumba za wananchi, hakuna sehemu yeyete duniani tetemeko likitokea, serikali inajenga nyumba za wananchi. Nyumba zimebomoka zaidi ya 2,000

Kachukua maamuzi magumu ya kuibadilisha umiliki Shule ya CCM na kuwa ya serikali na kuwapa ajira walimu wote waliokuwa wanafundisha hapo....jeshi LA MTU mmoja
 
sekondari ya Wazazi kuwa ya serikali ina kaukakasi, ingawa ni safi

wanafunzi wote watakuwa government, Shule itakuwa ya governemnt, Walimu duh balaa hilo
Ukakasi unatoka wapi?si kubadili registration papers tu?na hao walimu wanahamia Tamisemi kutoka ccm?au ulitaka uajiriwe wewe?
Ndio maana tulisema Rais ni Rais tu,ana nyenzo nyingi sana kufanikisha mambo
 
Back
Top Bottom