Rais Magufuli aguswa na utendaji wa JWTZ, amwaga vyeo na ajira

Huyo anaitwa Charles Mbuge na sio Mbugi kama alivyoandika mtoa mada.
Of course jamaa ni wachapa kazi sana 💪💪.

Twanga pepeta wamemwimba sana enzi zile akiwa na cheo cha Captain. Wakuitwa Captain Mbuge enzi za nyimbo kama Jirani, Kuolewa Majaliwa by Twanga pepeta😁😁
Ni typing error nilimaanisha Mbuge huo anaitwa Charles baba Kanali mstaafu Mbuge alikua CO Mikumi kikosi kileee
 
Back
Top Bottom