Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa hana lengo jema na taifa hili!, ana wivu tuu na watu fulani fulani, hivyo anafuta maadhimisho mbalimbali ili kuwakomoa wafaidika, wafe njaa!.Pasco pita pande hizi
Na ugoni unafanyika sana kwenye huo upuuzi
Huyu jamaa hana lengo jema na taifa hili!, ana wivu tuu na watu fulani fulani, hivyo anafuta maadhimisho mbalimbali ili kuwakomoa wafaidika, wafe njaa!.
Hili halikubaliki!, akizidisha tutakwenda kumshitaki kule kule jina lake lilipotoka na kupelekwa kwa JK!, vinginevyo tutakufa njaa!.
Watu hatuwezi kulingana, lazima wengine wapate na wengine wakose!.
Lazima wengine wafanye kazi na wengine wawafanyie kazi wengine!.
Lazima wawepo wenye nacho na wasio nacho!.
Lazima wawepo matajiri na masikini.
Kama vipi atangaze ukomunisti!, wenzao China na Urusi wameshindwa sasa huyu Magufuli anataka kutupeleka wapi?!.
Pasco
Hata mimi nashangaa. Hivi siku ya ukimwi duniani ni sherehe za ukimwi? Nadhani huyo mkulu anapaswa aelimishwe.
...siku ya ukimwi duniani ni tarehe 01 december kila mwaka, huko singida ni sayari gani?!
Asisahau na kufuta ule Mwenge unaozunguka nchi nzima
Lets assume Hazina haina hata shilingi mia (100)...unadhani serikali inashindwa kupata hela muda wowote inapojisikia? Ukijibu hili nitaelewa IQ yako ipoje.
Nilikuwa siwapendi CCM ila now naanza kuwa na amani na kiongozi wao atleast.
...siku ya ukimwi duniani ni tarehe 01 december kila mwaka, huko singida ni sayari gani?!
Kweli MbojoAcha uongo wako hapa! leo nilikuwa singida,maadhimisho hayo yamefanyika viwanja vya peoples.Labda ungesema Magufuli ameshindwa kuhudhuria.Ila chakushangaza walijaza tu wanafunzi wa sekondari.
Huyu jamaa hana lengo jema na taifa hili!, ana wivu tuu na watu fulani fulani, hivyo anafuta maadhimisho mbalimbali ili kuwakomoa wafaidika, wafe njaa!.
Hili halikubaliki!, akizidisha tutakwenda kumshitaki kule kule jina lake lilipotoka na kupelekwa kwa JK!, vinginevyo tutakufa njaa!.
Watu hatuwezi kulingana, lazima wengine wapate na wengine wakose!.
Lazima wengine wafanye kazi na wengine wawafanyie kazi wengine!.
Lazima wawepo wenye nacho na wasio nacho!.
Lazima wawepo matajiri na masikini.
Kama vipi atangaze ukomunisti!, wenzao China na Urusi wameshindwa sasa huyu Magufuli anataka kutupeleka wapi?!.
Pasco
Huyu jamaa hana lengo jema na taifa hili!, ana wivu tuu na watu fulani fulani, hivyo anafuta maadhimisho mbalimbali ili kuwakomoa wafaidika, wafe njaa!.
Hili halikubaliki!, akizidisha tutakwenda kumshitaki kule kule jina lake lilipotoka na kupelekwa kwa JK!, vinginevyo tutakufa njaa!.
Watu hatuwezi kulingana, lazima wengine wapate na wengine wakose!.
Lazima wengine wafanye kazi na wengine wawafanyie kazi wengine!.
Lazima wawepo wenye nacho na wasio nacho!.
Lazima wawepo matajiri na masikini.
Kama vipi atangaze ukomunisti!, wenzao China na Urusi wameshindwa sasa huyu Magufuli anataka kutupeleka wapi?!.
Pasco
Rais alielewa tofauti ya 'maadhimisho ya siku ya ukimwi duniani'
na 'sherehe za siku ya UKIMWI'?
Halafu kama bajeti ni miloni 20 ambayo ni kama mshahara na posho ya mbunge mmoja
ni kweli ttume save?
Jee hakuna umuhimu wa kuadhimisha siku hii?
je wahamasishaji wa kupiga vita ukimwi watumie siku ipi ?
Je kununua dawa ndio the best way ya kupiga vita UKIMWI?
Je maoni ya mashirika ya Afya ya kimataifa yanaendana na uamuzi wa Rais?
Je hatuwezi kubana matumizi bila ku interrupt maadhimisho?
Mkuu majibu ya maswali yako yanaweza kuonyesha kwamba uamuzi huu ungeweza kuwekwa tofauti kidogo.
Aidha, ni vyema tukajiuliza pia iwapo matayarisho ya hizi sherehe yalikuwa yaanze leo au yalikwishafanyika kitambo?
Kwa maana maamuzi haya yanaweza yakawa hayajaokoa kiasi hicho kilichotarajiwa kuokolewa.
Kama matayarisho ya hizi sherehe yalikwishaanza kitambo na naamini pesa nyingi tu imekwishatumika.
kuna bidhaa amabazo zilikwishatolewa oda na si ajabu advance payment zimekwishafanyika. Kama ni
bidhaa kama t-shirt nadhani zitakuwa zimekwishaandikwa mwaka 2015 hivyo hazitafaa kwa toleo la baadae.
wafanya biashara wamekwishakodi maeneo ya viwanja amabvyo wangeweka mabanda yao na huenda wamekwishalipa
pesa. n.k
nachelea kusema uamuzi huu unaweza kuokoa pesa kidogo kuliko ambazo taifa litazipoteza.
Dah wee sista duu upogo! Sijakuona miaka.