Rais Magufuli afuta leseni za kampuni za kuchimba dhababu za PANGEA Minerals(Acacia Mining/Barrick)

HNIC

JF-Expert Member
Sep 6, 2011
1,898
2,195
Mheshimiwa Rais sasa mwendo Mdundo na hataki mchezo kabisaa na hajaribiwi.

Kampuni hizi zilikuwa zinachimba dhahabu huko kwenye migodi ya Bulyanhulu, North Mara na Buzwagi.

Tusisahu kuwa hawa ACACIA mining walilalamika kine vyombo via habari via nje ya nchi kuwa TRA wamechukua pesa pesa ambazo walikuwa wanadaiwa (Dollar milioni 5) toka kwenye account yao bila idhini yao wakati huo huo wao kama ACACIA walikuwa wanaidai serikali dollar milioni 15

Habari zaidi someni hapa:

The mineral prospecting area in question is located in Shinyanga Region and licenced to Pangea Minerals Limited, a subsidiary of Acacia Mining Plc (formerly Barrick Tanzania) which owns three gold-producing mines in the country - Bulyanhulu, North Mara and Buzwagi.

The president yesterday chided the ministry for ordering the removal of artisanal miners from the Mwakitolyo area and reversed the decision, saying it is the mining giant that should be removed instead.

"How do you kick out more than 5,000 people in favour of just one investor? This is unacceptable and it doesn't even make sense," Magufuli said at State House in Dar es Salaam.
More Magufuli orders removal of top mining from gold field
 
Me nafikiri hii habari hujaiweka sawa au hujaieleza vizuri... Unaposema Acacia wamefutiwa vibari, maana yake watafunga migodi yao maana watakuwa hawana leseni.

Ukweli ni kwamba Acacia wamenyang'anywa eneo walilokuwa wanalimiliki kule mwakitolio.. na sio kufutiwa leseni...
 
Mheshimiwa Rais sasa mwendo Mdundo na hataki mchezo kabisaa na hajaribiwi.

Kampuni hizi zilikuwa zinachimba dhahabu huko kwenye migodi ya Bulyanhulu, North Mara na Buzwagi.

Tusisahu kuwa hawa ACACIA mining walilalamika kine vyombo via habari via nje ya nchi kuwa TRA wamechukua pesa pesa ambazo walikuwa wanadaiwa (Dollar milioni 5) toka kwenye account yao bila idhini yao wakati huo huo wao kama ACACIA walikuwa wanaidai serikali dollar milioni 15

Habari zaidi someone hapa:

Magufuli orders removal of top mining from gold field
Hizi executive orders zitaleta madhara muda si mrefu kama mlungula ulishaliwa na watu wakapewa vitalu kwa kupindisha sharia yetu ni macho. Anaweza kuwa anawatetea wadogo lakini ajue anashindana na sheria kama hili lipo katika wigo wa uwezo wake ni vizuri sana lakini kama watu walishapindisha sheria huko nyuma na uozo kufanywa ukweli basi ajiandae kulipa faini. Magufuli asiyachukulie haya mambo ya mikataba kirahisi rahisi yatamkwamisha hata kununua hizo ndege akiwa anakurupuka kurupuka, pesa yote ya ndege itaenda kulipa faini. Naomba isiwe hivyo.
 
tusubiri kesi za uswisi zianze tulipe fidia za mabilioni ya dola,si unajua hata ka kiwanja ukichukua kwa sababu yeyote lazima ufidie,sembuse eneo lenye madini,watu wameingia gharama kufanya utafiti,kulipa tozo,na hasara ya kukosa biashara,japo pia wanaweza kulirudisha kwa kupitia kesi hizohizo kwa hoja kwamba hawakupewa notisi
 
Me nafikiri hii habari hujaiweka sawa au hujaieleza vizuri... Unaposema Acacia wamefutiwa vibari, maana yake watafunga migodi yao maana watakuwa hawana leseni.

Ukweli ni kwamba Acacia wamenyang'anywa eneo walilokuwa wanalimiliki kule mwakitolio.. na sio kufutiwa leseni...
Nadhani alimaanisha hivyo ila nadhani yeye si mwandishi na si hivyo tu habari yenyewe imeandikwa na waandishi wetu wa SHANGA
 
tusubiri kesi za uswisi zianze tulipe fidia za mabilioni ya dola,si unajua hata ka kiwanja ukichukua kwa sababu yeyote lazima ufidie,sembuse eneo lenye madini,watu wameingia gharama kufanya utafiti,kulipa tozo,na hasara ya kukosa biashara,japo pia wanaweza kulirudisha kwa kupitia kesi hizohizo kwa hoja kwamba hawakupewa notisi na kujitetea/kusikilizwa kabla ya kufutiwa leseni
 
Wataenda mahakama ya biashara duniani atashindwa kama alivyoshindwa kesi ya meli na samaki wa Magufuli halafu watoto walio tumboni mwa mama zao wataendelea kulip deni la uzembe kabisa
 
Mwanzoni walisema Magufuli hawezi sababu tatizo ni mfumo.

Baada ya kuanza kuwatumbua mafisadi wenzao wakasema ni nguvu ya soda.

Baada ya mwaka mzima kuisha huku sindano zikiwaingia kwa kasi ile ile na soda haiishi nguvu, sasa wameanza kupongeza!

Safi sana Yericko, natamani ufipa yote ipokee ubatizo wa moto kama uliopokea wewe na hatimaye kuungana na rais bora kabisa duniani kulijenga upya taifa la Tanzania.
 
Mheshimiwa Rais sasa mwendo Mdundo na hataki mchezo kabisaa na hajaribiwi.

Kampuni hizi zilikuwa zinachimba dhahabu huko kwenye migodi ya Bulyanhulu, North Mara na Buzwagi.

Tusisahu kuwa hawa ACACIA mining walilalamika kine vyombo via habari via nje ya nchi kuwa TRA wamechukua pesa pesa ambazo walikuwa wanadaiwa (Dollar milioni 5) toka kwenye account yao bila idhini yao wakati huo huo wao kama ACACIA walikuwa wanaidai serikali dollar milioni 15

Habari zaidi someone hapa:

Magufuli orders removal of top mining from gold field
Wewe nawe mamamaye hujui Kiingereza unajitia madahilo tu! Mbona hakuna sehemu inayoonesha kwamba wamenyang'anywa leseni yote ya uchimbaji dhahabu? Badala yake kuna maelezo kwamba wamenyang'anywa leseni ya eneo la utafiti la Mwakitolyo kule Shinyanga!
 
Back
Top Bottom