Rais Magufuli afanya uteuzi wa Viongozi mbalimbali wa Taasisi za Umma

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,888
IMG-20181206-WA0019.jpeg
 
Hongera zao wateuliwa, bahati yao kupata nafasi ya kuendelea kula sehemu ya juu ya keki ya Taifa, sisi tunawatakia utumishi uliotukuka kwa maendeleo na ustawi wa Taifa.
 
Hizo nafasi zilikuwa wazi? Sijaona waliozishikilia awali wamepangiwa au kupelekwa wapi?
 
Naona awamu hii akina "sie" tulie tu.

Mbegu mbaya sana ya ubaguzi inapandwa, ikikomaa tutaivuna wote!

Kutenga watu , watu wa Taifa lako lilelile moja ni dalili ya chuki kali iliyojificha moyoni lakini ni kutokutambua kuwa heshima yako ni kuwa wa wote na si wa kundi moja!

Dua wanazoombewagwa baada ya kuapishwa huwa wanadhani ni formality tu, lakini usipotenda haki zinakurudi, kila unachogusa hakiwi!
Na mwisho wako ni upweke humu duniani!
 
Hongera Msekwa mzalendo and the very CCM knowledgeable asiye Na njaa mwenye msimamo wa uhakika kwa kuteuliwa.Congutulations
 
Back
Top Bottom