Rais Magufuli afanya uteuzi wa Mabalozi, Wakuu wa Mikoa, Makatibu & Manaibu Katibu: Wamo Mnyeti, Mangu, Kashilila..

huyu Alexandar Pastor Mnyeti (Alikuwa DC wa Arumeru) inasemekana alitoa .......................... kwa madiwani . ni kweli?
 
Yan uteuzi wote huo ungekuwa ni UJENZI wa viwanda hakika Tanzania ingetoa misaada kwa nchi zingine!!!

Wacha aendelee kufoolisha watz...
 
===== *TAARIFA MUHIMU!!!* !**=====

Karibuni katika matangazo ya moja kwa moja (Live!!!) yatakayowajia kuanzia saa 11:35 Jioni hii leo tarehe 26 Oktoba, 2017 kutoka Ikulu Dar es Salaam.

Matangazo haya yanahusu uteuzi wa viongozi uliofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli.

Matangazo haya yatarushwa kupitia Televisheni ya Taifa - TBC1, Redio - TBC Taifa na tovuti rasmi ya Ikulu ambayo ni www.ikulu.go.tz
------------

UPDATES:

Uteuzi wa Wakuu wa Mikoa

Mkoa wa Manyara - Mkuu wa Mkoa ni Alexandar Pastor Mnyeti (Alikuwa DC wa Arumeru)

Mkoa wa Rukwa - Mkuu wa Mkoa ni Joachim Leonard Wagabo (alikuwa DC wa Nanyumbu)

Mkoa wa Geita - Mkuu wa Mkoa ni Bwana Robert Gabriel Lughumbi (alikuwa DC wa Korogwe)

Mkoa wa Mara - Mkuu wa Mkoa ni Adam Kigoba Ally Malima (aliwahi kuwa kwenye baraza la mawaziri awamu ya nne)

Mkoa wa Dodoma - Mkuu wa mkoa ni Bi. Christine Solomoni Mndeme (alikuwa DC wa Dodoma Mjini)

Mkuu wa Mtwara - Gelasius Gasper Byakanwa (alikuwa DC wa Hai)

Uteuzi wa Mabalozi
Dr. Aziz P. Mlima - Amekuwa Balozi (alikuwa Katibu Mkuu wizara mambo ya nje)

IGP Mtaafu Ernest Mangu - Amekuwa Balozi

Hawa Vituo vyao vya kazi vitatangazwa

Uteuzi wa Makatibu Wakuu na Manaibu wao
Ofisi ya Rais Ikulu - Katibu Mkuu Alifayo Kidata

Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma na utawala Bora - Katibu Mkuu Dr. Lawrian Ndumbaro
> Naibu Katibu Mkuu - Bi. Dorothy Mwaluko

Ofisi ya Rais TAMISEMI - Katibu Mkuu Eng. Mussa Iyombe
> Naibu Katibu Mkuu (TAMISEMI Afya) - Zainabu Chaula
> Naibu Katibu Mkuu (TAMISEMI Elimu) - Dickson Nzunda

Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira - Katibu Mkuu Eng. Joseph Kizito Manongo (alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo hiyo)
> Naibu Katibu Mkuu - Bi. Butamo Kasuka Philipo

Ofisi ya Waziri Mkuu
>Kazi na Ajira - Katibu Mkuu Erick Shitindi
>Bunge na Waziri Mkuu - Katibu Mkuu Bi. Maimuna Tarishi
>Sera - Katibu Mkuu Faustine Kamuzora (amehamishwa kutoka ofisi ya makamu wa rais)

Wizara ya Kilimo - Katibu Mkuu Eng. Mathew Mtigumwe
>Naibu Katibu MKuu - Dr. Tomas Didim Kashilila

Wizara ya Mifugo na Uvuvi
> Mifugo - Katibu Mkuu Dr. Maria Mashingo
> Uvuvi - Katibu Mkuu Dr. Yohana Budeba

Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano
>Uchukuzi - Katibu Mkuu Dr. Leonard Chamuriho
>Ujenzi - Katibu Mkuu Eng. Joseph Nyamuhanga
>Mawasiliano - Katibu Mkuu Dr. Maria Msasabo
Naibu Katibu Mkuu Mawasiliano - Eng. Adelina Madete

Wizara ya Fedha na Mipango - Katibu Mkuu Dotto James Mgosha
> Naibu Katibu Mkuu Utawala - Bi. Suzan Mkapa
> Naibu Katibu Mkuu Fedha za Nje - Bi. Amina Shaaban
> Naibu Katibu Mkuu Sera - Dr. Hakingu M. Kazungu

Wizara ya Nishati - Katibu Mkuu Dr. Hamis Mwinyimvua (Anatoka ofisi ya Waziri Mkuu)

Wizara ya Madini - Katibu Mkuu Prof. Saimon S. Msanjila (alikuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu)

Wizara ya Katiba na Sheria - Katibu Mkuu Prof. Sifuni Mchome
> Naibu Katibu Mkuu - Bwana Amon Mbanju

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki - Katibu Mkuu Prof. Adolph Mkenda (ambaye ni Mchumi, anatoka Wizara ya Biashara na Uwekezaji)
> Naibu Katibu Mkuu - Balozi Ramadhan Muomba Mwinyi

Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa - Katibu Mkuu Dr. Florence Nduruka
> Naibu Katibu Mkuu - Bi. Emmaculate Peter Ngwale

Wizara ya Mambo ya Ndani - Katibu Mkuu Meja Jenerali Projest Rugasira
>Naibu Katibu Mkuu - Balozi Hassan Simba Yahaya

Wizara ya Maliasili na Utalii - katibu Mkuu Meja Jenerali Gaudens Melanzi
> Naibu Katibu Mkuu - Dr. Aloyce Nzuki

Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi - Katibu Mkuu Bi. Dorothy Mwanyika (alikuwa Naibu Katibu Mkuu wizara ya Fedha)
> Naibu Katibu Mkuu - Dr. Moses M. Kusiluka

Wizara ya Viwanda Biashara na Uwekezaji - Katibu Mkuu Prof. Elisante Ole Gabriel (ametoka wizara ya habari)
> Naibu Katibu Mkuu (Viwanda) - Bwana Ludoviki Nduhie
> Naibu Katibu Mkuu (Biashara na uwekezaji) - Prof. Joseph Bunjweshaiya

Wizara ya Elimu - Katibu Mkuu Dr. Leonard Akwelapo
> Naibu Katibu Mkuu - Dr. Epifan Mdoe (anatoka Wizara Ya Madini)
> Naibu Katibu Mkuu - Dr. Avie-Maria Semakaf

Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto
>Katibu Mkuu (Afya) - Dr. Mpoki Ulisubisya
>Katibu Mkuu (Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto) - Bi. Sihaba Nkinga

Wizara ya Habari Utamaduni Usanii na Michezo - Suzan Paul Mlawi (alikuwa Naibu Katibu Mkuu Utumishi)
> Naibu Katibu Mkuu - Bwana Nicolaus B. William

Wiazra ya Maji na Umwagiliaji - Katibu Mkuu Prof. Kitila Mkumbo
> Naibu Katibu Mkuu - Eng. Emmanuel Kalomelo

News Alert: - IKULU, DAR: Rais Magufuli awaapisha Makatibu Wakuu, Naibu Makatibu Wakuu, Balozi na Wakuu wa Mikoa aliowateua jana

Ok
 
Ninasikitika sana kuona sasa katika CCM kunakuwa na mpasuko mkubwa sana ambao historia haijawahi kutokea Kada kama former RC Rugimbana anavurugwa na informer wa JPM ambaye ni Mkurugenzi wa pale Dodoma Mr. Kunambi ambaye anapeleka umbeya kuhusu RC Rugimbana na sasa hali ilifika hatua huyu bwana alikuwa kama RC na alikuwa na run mkoa indirectly why?

Sasa situation ikiendelea katika mfumo huu ubora wa JPM kuwa mpigani haki za wanyonge itabaki historia na kuwa utawala wa ki-imula period. RC Rugimbana alikuwa royal kwa kila mtu na ameiweka Dodoma vyema toka akiwa DC Kinondoni what else do u need a leader to offer to the nation.
Jiachie tu nyuma ya keyboard ... but ukiombwa kutoa USHAHIDI wa hayo uloandika USIJIFICHE na kuanza kutafuta SYMPATHY YA UMMA
 
Mkapa alimteua Magufuli kuwa naibu waziri na baadae waziri. Magufuli naye kaanza kulipa fadhila sasa, kamteua mwanae Mkapa, Nico, kuwa naibu KM, habari.
 
Kama CCM wameshindwa kupanga mitaro, wataweza nini?,Mungu awalinde wanaopatwa na adha ya mafuriko.

Nakumbuka jinsi Dar es salaam na majiji mengine yalivyokuwa kimya! huku sauti ya Lubuva ikitawala anga la pwani ya mashariki ya Africa, siku ile hata ndege hawakuruka kwa simanzi.

Hakuna haja ya kumshangaa Magufuli kwa kuwaongezea vyeo akina Mnyeti. Huwezi kutegemea jambo tofauti kutoka kwa Magufuli. Ni mtu anayefanya 'sentimental judgement' kwa lengo la kukidhi hisia zake dhidi ya watu anaowachukia na kwa kuwafurahisha wanaomfurahisha katika ulimwengu wa chuki zake, bila kujali maamuzi hayo yana 'impact gani kwa ujumla wa kitaifa'. A lowly mind in the high office.

'Kiongozi dhaifu kabisa ni yule anayeshindwa na nguvu za hisia zake'

Niliposikia Mtuhumiwa Wa Rushwa Kateuliwa Kuwa Mkuu Wa Mkoa Nikakumbuka Kauli Ya Tundu Lissu Kuwa TUNA RAIS WA AJABU HAIJAWAI KUTOKEA !!

mr mkiki.
 
Tuna wapinzani wa ajabu zaidi kwa kukubali kumteua fisadi kugombea urais ambapo kwa miaka mingi wakituaminisha ni fisadi asiyesafishika.
 
Kabla ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 kwenye gazeti la Mawio, kuna mtaalamu mmoja alichambua "afya ya akili" ya mgombea mmoja akahitimisha kwamba, mgombea huyo kama ikishinda, kuna siku atafanya uamuzi ambao utaligharimu mno taifa hili. Kuna watu wanasema kwenye korido mbalimbali kwamba hiyo ndio sababu hasa ya gazeti hilo kufungiwa!
 
Nimeshangaa pia mtuhumiwa anayechunguzwa kupewa u rc, Takukuru haiwezi kuja na matokeo chanya vinginevo mkurugenzi wake awe tayari kwa yalomkuta Nape.
 
Back
Top Bottom