Rais Magufuli afanya uteuzi wa Mabalozi, Wakuu wa Mikoa, Makatibu & Manaibu Katibu: Wamo Mnyeti, Mangu, Kashilila..

Hapa maana yake ni kwamba Magufuli ndo anawatuma hawa vijana. Hata ile sinema ya bashite pale clouds TV ni yeye alimtuma na akampa na ulinzi wa ikulu. Maajabu ya karne haya watanzania tumepata rais wa hovyo kuwahi kutokea
Jiandae kupimwa mkojo
 
Tangu lini MAGUFULI akawa mzuri kwenu???Na mtalalmika sana awamu yake mpaka akili zenu zitakapo wakaa vizuri..,.
Mvunja katiba mnae chamani kwenu huko.....Mtu anakaa madarakani kwa miaka ZAIDI YA 20...anateuwa hawala zake,Arafiki zake kuwa wabunge wa viti maalumu,anakingia MAJIZI kifua kuwa WAGOMBEA uraisi na mmekaakimya hamlioni hili, mkipewa URAIS je,si mtakuwa mtakuwa janga la KITAIFA??muwe mnaona na KUNDULE LENU
hizi lawama zenu hazina UHALALI WOWOTE maana kila siku mnalalama anavunjka katiba acha aendelee kutembelea maneno yenu ili mbwabwaje vizuri huku mitandaoni
 
Jambo linapofanyika ambalo hukulitarajia lipe muda utaona matokeo yake pengine ile kauli mbiu ya mabadiliko ndio inatimia
 
Mnapenda sana kusifiwa, fanyeni vitu vinavyoeleweka tutawasifia tu.

Mmeteua wakurugenzi kutoka nje ya system ya Serikali tena makada mnataka tuwasifie tu.

Wataalamu wa psychologia wameteuliwa kuwa makatibu wakuu wa Maji bado mnasema wameteuliwa watu wenye sifa.

DC alieharibu shamba la Mbowe anapandishwa cheo na kuwa RC bado mnasema maendeleo hayana chama.

DC alienunua madiwani kwa rushwa anapandishwa cheo na kuwa RC bado hamuoni tatizo.

RC alieruhusu Tundu Lissu kuwa hai mpaka leo hii anatolewa madarakani.

Katibu wa Bunge aliyekuwa anatoa nafasi kwa wabunge wa Upinzani kujieleza anashushwa cheo.

Ni visasi kila kona na kukomoana na mnaondoa umoja wa kitaifa nani mnafikiri atawasifia. Limbukeni wa madaraka.
Zito alisema Nchi inaongozwa na Washamba lazima vioja vitaongezeka.
 
IFIKE MAHALI NCHI ITULIE WATU WAFANYE KAZI BADALA YA PINDUA PINDUA YA UTEUZI. UTEUZ UFANYIKE KUZIBA NAFAS ZLIZO WAZI TU
 
Ujinga mlioufanya wapinzani mwaka 2015 unawagharimu sana!! Kumpokea MTU mwenye tuhuma lukuki za wizi na ufisadi na kumpa ticket ya kugombea urais lilikuwa ni kosa kubwa mno kisiasa!!!

Sasa hivi mmeshakosa credibility ya kukosoa serikali inapoteua watu wenye tuhuma!! Maana issue ya mnyeti ni tuhuma, kosa linaweza tu kuthibitishwa na mahakama, siyo Nassari, ndo ambacho ccm wanawaambia!

Msingekuwa na makando kando yoyote ya kuteua watu wenye tuhuma za ufisadi wala hata asingekuwa na guts za kuteua watu wenye tuhuma kwenye serikali yake. Sahv anawaacha mjionee soni wenyewe ili awanange vizuri 2020
 
Tangu lini MAGUFULI akawa mzuri kwenu???Na mtalalmika sana awamu yake mpaka akili zenu zitakapo wakaa vizuri..,.
Mvunja katiba mnae chamani kwenu huko.....Mtu anakaa madarakani kwa miaka ZAIDI YA 20...anateuwa hawala zake,rafiki zake kuwa wabunge wa viti maalumu,akipewa URAIS je????muwe mnaona na KUNDULE LENU
hizi lawama zenu hazina UHALALI WOWOTE maana kila siku mnalalama anavunjka katiba acha aendelee kutembelea maneno yenu ili mbwabwaje vizuri huku mitandaoni
Kazana mkuu nafasi za uteuzi bado zipo, hivi hayo yaliyoandikwa unayaelewa?
 
Back
Top Bottom