Rais Magufuli afanya uteuzi na kutumbua. Dr. Bana, Kipilimba waula. RC Kebwe wa Morogoro achinjiwa baharini

Kennedy-Gastorn-TRAC-AALCO-300x266.png


SECRETARY-GENERAL OF AALCO
H.E. Prof. Dr. Kennedy GASTORN, of United Republic of Tanzania, is the sixth Secretary-General of the Asian-African Legal Consultative Organization (AALCO).

He took office on 15th August, 2016. He was elected for a four-year term at the Fifty-Fifth Annual Session held in New Delhi (HQ), India.

Prof. Gastorn read Bachelor and Master’s in law from University of Dar es Salaam, Tanzania in 2003.

He earned his doctorate from University of Bayreuth, Germany in 2007.

Prior to his current appointment, Prof. Gastorn was the Director of International Affairs of the University of Dar es Salaam, Tanzania and the immediate past Head of the Department of Public Law, University of Dar es Salaam School of Law. He was also a member of the National Environmental Advisory Committee in the Vice President’s Office United Republic of Tanzania.

As the Secretary General of AALCO, Prof. Gastorn’s priority is to reinforce AALCO as the “hub” for collective dialogue on legal concerns of the Member States from Asia and Africa. He also aims to generate new momentum among the Member States to actively participate in AALCO activities and to encourage and welcome countries from Asia and Africa to become new members of AALCO.

His vision is to build a strong working relationship with the United Nations, the International Criminal Court (ICC), International Law Commission (ILC), the World Trade Organization (WTO) and regional organizations like Association of Southeast Asian Nations (ASEAN), African Union, Economic Cooperation Organization (ECO) and South Asian Association for Regional Cooperation (SAARC). He also hopes to increase the scope of engagement with other IGOs and regional organizations.
Source : https://trac.ir/aalcos-secretary-general/
Prof Dr ndio umemaanisha madudu gani?
 
Wanaume kama nyie bado mpo. Hongera. Unafumania mkeo live. Unampongeza kuogopa gharama. Unapima gharama kwa vigezo gani na kwa hasara ya Nani.
Umesikika Praise and Worship Member. Endeleeni kusifia Ujinga wa Jiwe wenu huyo. Mmejawa na Chuki na Majungu tu mnapelekeana.
 
Mabalozi wanaorudi nyumbani kwa kustaafu au kupangiwa kazi nyingine ni nani na nani

1. Falme za Kiarabu (Abu Dhabi) Mbarouk Nassoro Mbarouk
2. Bujumbura (Burundi)
3. Brussels (Ubelgiji) Bwana Joseph Sokoine
4. Cairo (Misri) Maj Generali Issa Suleiman Nassoro
5. Harare (Zimbabwe) Balozi Charles Makakala
6. Kuwait City (Kuwait) Mahadhi Juma Maalim
7. Pretoria (Afrika Kusini) Nafasi ilikua wazi toka 2018 punde balozi Sylvester Ambokile alipostaafu
8. Riyal (Saudi Arabia) Hemedi Iddi Mgaza
9. Tokyo (Japan)
10. Umoja wa Mataifa (Switzerland) Robert Kahendaguza
11. Umoja wa Mataifa (New York) Balozi Modest J Mero
12. Abuja (Nigeria) Muhidini Ally Mboweto
 
September 20, 2019
Naibu Wakili Mkuu wa Serikali ameteuliwa kuwa Naibu katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni

magufuli-uteuzi.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali

Dkt. Ali Posi ambaye kwasasa ni Naibu Wakili Mkuu wa Serikali ameteuliwa kuwa Naibu katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo.

Bw. Gabriel Pascal Madata ameteuliwa kuwa Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Madata alikua Kamishna wa kazi Ofisi ya Waziri Mkuu.
Kesi ya Mkulima kushikilia ndege ya Air Tanzania imezidi kuondoka na watumishi wa juu wa serikali na sasa imekula kichwa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali
Source : http://zanzibar24.co.tz/29-wapata-uteuzi-leo-yumo-mkurugenzi-idara-ya-usalama-wa-taifa/


Kazi na Majukumu ya Ofisi za Wakili Mkuu wa Serikali

p-1.jpg


Picha aliyekuwa Naibu Wakili Mkuu wa Serikali Dr. Ali Saleh Possi akila kiapo April 15, 2018. Leo Sept 20, 2019 Dr. Ali Possi ateuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni na Sanaa http://zanzibar24.co.tz/29-wapata-uteuzi-leo-yumo-mkurugenzi-idara-ya-usalama-wa-taifa/
Na Dennis
Na Dennis Buyekwa

Katika kuboresha Sekta ya Sheria na Taifa kwa ujumla, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, aliona umuhimu wa kuirudisha tena Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali iliyohamishiwa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali hapo mnano mwaka 1965.

Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali imeanzishwa kwa Mamlaka aliyo nayo Mhe, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, chini ya Ibara ya 36 (1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kwa kuzingatia ibara hiyo, Mhe, Rais alitoa amri ya kuboresha muundo wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa tangazo la Serikali Na. 48 la mwaka 2018 kwa lengo la kuboresha huduma za kisheria katika Sekta ya Umma.

Kufuatia maboresho hayo ya muundo wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, mnamo tarehe 13 Februari, 2018, Mhe, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliona upo umuhimu wa kuirudisha Ofisi hiyo tena na alisaini Amri ya kuanzishwa kwake, kwa tangazo la Serikali Na. 50 la mwaka 2018.

Aidha Mhe, Rais mnamo tarehe 15 April, 2018 alimteua Dkt. Clement Julius Mashamba kuwa Wakili Mkuu wa Serikali na Dkt. Ally Saleh Possi kuwa Naibu Wakili Mkuu wa Serikali.

Akizungumzia malengo mahususi ya kuirejesha tena Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Mashamba, alisema urejeshwaji wa Ofisi hii umelenga zaidi katika kuimarisha namna bora ya kuimarisha na kusimamia mashauri mbalimbali yanayoihusu Serikali yaliyo funguliwa na wadau wa ndani na wale wa nje ya nchi.

‘Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali inao wajibu mkubwa wa kuimarisha na kusimamia kikamilifu kesi zote za madai Mahakamani, katika Mabaraza ya Usuluhishi pamoja na kesi zote zinazohusu haki za binadamu na zile za kikatiba’.

Malengo mengine ya kuanzishwa kwa Ofisi hii ni pamoja na kuratibu shughuli zote zinazohusu kesi za madai na mwenendo wa usuluhishi kwa niaba ya Serikali Kuu, Mamlaka ya Serikali za Mitaa, Idara mbalimbali zinazojitegemea, na Mashirika ya Serikali, pamoja na kesi zote zinazohusu masuala ya haki za binadamu pamoja na zile za kikatiba.

Aidha pamoja na malengo hayo mahususi, Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali inaowajibu wa kutekeleza majukumu mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kuchukua na kuendesha kesi zote za madai na usuluhishi kwa niaba ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, pamoja na kuwaelekeza Maafisa sheria na Mawakili wa Serikali namna bora ya kusimamia uendeshaji wa kesi hizo.

Dkt. Mashamba aliongeza kuwa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali inao wajibu wa kuratibu mashauri yote ya madai, haki za binadamu, kesi za kikatiba na usuluhishi katika Mahakama na Mabaraza ya Usuluhishi yanayoihusu Serikali kuu, Idara mbalimbali na Mashirika ya Umma.

Aidha majukumu mengine ya uanzishwaji wa Ofisi hii ni pamoja na kuandaa na kufungua mashauri mbalimbali kwenye Mahakama za chini, Mahakama Kuu, Mahakama ya Rufaa, na Mabaraza ya Usuluhishi kwa niaba ya Serikali ikiwa ni pamoja na kutoa miongozo kwa wanasheria, mawakili wa Serikali, maafisa na watumishi wengine walioajiriwa katika Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali.
source : https://wazo-huru.blogspot.com/2019/05/ofisi-ya-wakili-mkuu-wa-serikali.html?m=1
 
Habari za Mh. Balozi mteule Jestas A. Nyamanga toka katika Maktaba :
Bw. Jestas A. Nyamanga, Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Ulaya na Amerika katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa ya Tanzania akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Italia hapa nchini Mhe. Roberto Mengoni


Bw. Jestas A. Nyamanga akiwa katika picha ya pamoja na Balozi Mengoni mara baada ya kumaliza mazungumzo kati yao

Source : http://foreigntanzania.blogspot.com/2019/03/naibu-waziri-wa-mambo-ya-nje-akutana.html?m=1
 
Matangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu Jijini Dar es Salaam kuhusu uteuzi uliofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli yatawajia kuanzia saa 9:20 alasiri leo tarehe 20 Septemba, 2019.

View attachment 1212456

========================

Rais Magufuli amefanya mabadiliko ambapo, Mkuu wa Wilaya ya Tarime Charles Kabeho, amehamishiwa wilaya ya Chato na Mkuu wa Wilaya ya Chato Msafiri Mtemi amehamishiwa Wilaya ya Tarime.

Rais John Magufuli memteua Lowata Sanare kuwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, pia amemteua Musa Masele kuwa Mkuu wa Wilaya ya Malinyi mkoani Morogoro.

Rais Dkt Magufuli ameteua Mabalozi 12 ambao wataiwakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali. Uteuzi huo unatokana na vituo hivyo ama kuwa wazi, Mabalozi kumaliza muda wao, kustaafu au kurejeshwa nyumbani ambapo watapangiwa kazi nyingine.

Modestus Kipilimba, aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS), ameteuliwa kuwa Balozi. Kituo chake cha kazi kitatangazwa baadae.

Majina kamili ya Mabalozi walioteuliwa ni
1. Mohamed Mtonga
2. Dkt. Jilly Maleko
3. Dkt. Benson Bana
4. Meja Jen. (Mst), Anselimu Bahati
5. Prof. Emmanuel Mbennah
6. Maimuna Tarishi
7. Meja Jen. (Mst) Gaudence Milanzi
8. Ali Jabir Mwadini
9. Dkt Modestus Kipilimba
10. Jestas Nyamanga
11. Prof. Dr. Kennedy Gaston
12. Mhandisi Aisha Amour
ma uteuzi kila siku halafu hakuna ufanisi wowote
 
Hapa kunahitaji ufafanuzi je hili ni kosa la. Kawaida??
the German system it is not uncommon to list all honorifics, so something like Prof Dr. Dr. Dr. Smith would be someone with a single professorship and 3 doctorates.

This Prof. Dr. Ir. Tundu received a M.Sc. degree in electrical engineering and the Ph.D. degree in mechanical engineering from the Katholieke Universiteit Leuven (K.U.Leuven), Belgium etc

Source : https://academia.stackexchange.com/...he-german-professors-addressed-as-prof-dr-xxx

Prof. Dr. Major General (rtd) Yadon Mtarima Kohi JWTZ / TPDF :

Professor Yadon Kohi holds Bachelors (LLB) and Masters (LLM) degrees in Law (OUT, Tanzania), Bachelors degree in Medicine(MB ChB) (Makerere) and a Masters degree in Medicine(University of Glasgow, Scotland).

He was the first neurosurgeon in Tanzania. Professor Kohi has had a distinguished career in public service spanning more than thirty years. He served in the Tanzania Peoples Defence Forces rising to the rank of Major General.

Professor Kohi is a member of the Tanzania Academy of Sciences and a Fellow of the Royal College of Surgeons of Glasgow.

Professor Kohi is a distinguished expert in the fields of Medical law, Medical malpractice and negligence.

https://www.jamiiforums.com/threads/je-kuna-maprofesa-na-madokta-phd-jeshini.1330155/page-2
 
Huyo Charles Kabeho ana uhusianao gani na Charles Kabeho aliyekuwa mbunge wa Igunga kabla ya Rostam Aziz?
 
Jamani mpaka sasa nani kasaulika, waliowengi tulidhani Benson Bana ndiye aliyekuwa amebaki, tukumbushane.
 
Back
Top Bottom