Rais Magufuli afanya uteuzi na kutumbua. Dr. Bana, Kipilimba waula. RC Kebwe wa Morogoro achinjiwa baharini

Ndi maana UDSM inashuka kitaaaluma ikilinganishwa na vyuo vingine, amewachukua watu wengi pale chuo na wengine hawana na msaada kwenye siasa
 
Da jamaa jina langu sijui walipeleka au ndio ilikua ahadi hewa mheshimiwa akiniteua naahidi sitamuangusha mi ntakua nalala site yani nikipata uteuzi tu napitia mlimani city nanunua tent langu naweka kwenye v8 kazi inaanza
NI KWELI, AVUMAE BAHARINI KUMBE WENGINE WAPO. ANachosema kifinga ni kweli, wapo watu wazalendo na wachapakazi kwelikweli lakini mamlaka ya uteuzi hawajui
 
Joketi akipata nafasi anaweza kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar bora kuliko Bashite.
Sijui kwa nini Dar inadharaulika kiasi hiki. Kwa hadhi na umuhimu wa Mkoa wa Dar, ilihitaji mkuu wa mkoa mwenye uwezo na uelewa mkubwa zaidi ya aliyepo na hata huyo uliyemtaja.
 
Ila alisema watapangiwa kazi zingine
Tatizo Makonda sijui kamlisha nini huyu Magufuli?
Kwani makonda ana tatizo gani mkuu?
Mnavyomtaja taja ndio mnampaisha
Kebwe alikua analiwa timing tu,kamati yake na ulinzi na usalama ilishabadilishwa yote,tokea wezi wa mafuta wafanye jamboree
 
Back
Top Bottom