Rais Magufuli afanya teuzi 10: Aboubakar Kunenge awa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Joseph Mkirikiti Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Paulo Mshimo katibu Tawala Dar...

Siyo lazima utetee kila kitu. Inawezekana kabisa kuwa na utaratibu mzuri wa kuteua na kuapisha watu bila kuahatarisha usalama wao.
Wote hao hakuna mgeni hapo ambae hajawahi kuitwa ghafla tamisemi dodoma
Halafu nchi.yetu ni lami tupu
 
Unamletea dharau mwenye elimu ya ngazi ya Master, acha utopolo usirudie dharau kwa gallant states men, dharau wengine
Dharau zipi nilizo leta hapo mkuu? Mimi nimeuliza hivyo ulitakiwa unipe hiyo CV yake wewe unae mjua huo ndio uungwana sio kutoa matusi.
 
Na akiahishindwa kuonesha vyeti vyake vya kitaaluma tunaye! Ngoja tuone utaratibu wa kisheria unasema vipi kuhusu mtu baki kumshitaki!

Hatuwezi kuwa na waziri wa mambo ya ndani bogus (Maana inasemekana atapewa ushindi wa ubunge, Kisha uwaziri).
Sifa ya kuwa mbunge ni kujua kusona na kuandika sasa sijui vyeti mtaitisha vya nini?
 
Back
Top Bottom