Rais Magufuli afanya mabadiliko Baraza la Mawaziri. Mwijage na Tizeba nje, Waitara ndani

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
Tetesi zaiva na kuwa kweli,
Mwita Mwikwabe Waitara Naibu Tamisemi,
Mwijage nje nafasi yake yachukuliwa na Joseph Kakunda,
Constantine John Kanyasu kuwa wa Naibu maliasili

Tunaendeleza usafishaji


IMG-20181110-WA0104.jpg


IMG-20181110-WA0105.jpg


Safisha safisha yaanza serikalini na idara zake - JamiiForums
 
Back
Top Bottom