Rais Magufuli aendesha kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu Chamwino, Dodoma leo

comrade igwe

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
7,295
3,945
Wana jamvi

Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri kwenye ukumbi wa mikutano katika Ikulu ya Chamwino mjini Dodoma leo Machi 15, 2017.

PICHA NA IKULU



 
Uzuri wa vikao kama hivyo viwe na matokeo chanya kwa ustawi na maendeleo ya taifa na wananchi wake bila ya kujali itikadi,jinsi,jinsia,kabila,kanda,dini nk
 
Ikulu ya Chamwino haipo Dodoma mjini wala ndani ya manispaa ya Dodoma.Ikulu ya Chamwino ipo wilayani Chamwino hii ni wilaya mpya baada ya kugawanywa wilaya ya Dodoma Vijijini kuwa wilaya mbili za Chamwino na Bahi.
 
issue ya Bashite vipi baba. naona upon kimya wakati jipu limeiva hadi linatoa USAA hutaki kulitumbua
 
Hapo ni kujadili namna ya kufuta vyama vya upinzani nchini. "Mkurugenzi unapewa gari na posho na serikali wakati wa uchaguzi afu unamtangaza mpinzani kuwa kashinda! Hivi mnatumia akili gani? Wenyeviti wa ccm ambao maeneo yenu walipita wapinzani msijisumbue kujaza tena fomu za kuomba uongozi" By JPM Dodoma
 
Back
Top Bottom