RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 51,719
- 107,833
Kuna kamanda mmoja nilikuwa nae kijiweni akasema jamaa anaumwa tena,dakika kumi nyingi ikatumwa hio video anasalimia hapo msibani. Nikamuonesha yule kamanda nikamwambia wanaowaita Nyumbu hawakoseiAnaonekana yuko fiti kabisa.
Si ajabu labda alipata mafua tu na akaamua apumzike kidogo.
Na hapo labda ndo wale wazushi wakapata mwanya wa kuzusha uzushi wao.
Kuna kipindi hata Jenerali Mwamunyange alizushiwa mambo kama haya haya.