Rais Magufuli aenda kuhani msiba wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha CUF, James Mapalala

Anaonekana yuko fiti kabisa.

Si ajabu labda alipata mafua tu na akaamua apumzike kidogo.

Na hapo labda ndo wale wazushi wakapata mwanya wa kuzusha uzushi wao.

Kuna kipindi hata Jenerali Mwamunyange alizushiwa mambo kama haya haya.
Kuna kamanda mmoja nilikuwa nae kijiweni akasema jamaa anaumwa tena,dakika kumi nyingi ikatumwa hio video anasalimia hapo msibani. Nikamuonesha yule kamanda nikamwambia wanaowaita Nyumbu hawakosei
 
Kuna anything CCM dick sucker says kiniume?

Like what maafaka?

Like what u said?Really?

Unashindwa kujitetea mwenyewe mpaka umuingize an old woman of 96yrz ambae hayupo hapa kujitetea mwenyewe ndio unaona its something??

Nishambulie mimi personally,sio unarukia wasio husika which is cowardice!

You Jiwe blowjob givers!

Unanuka mavi,kajisaidie huko!
Kwendraaa blabla nyingii... Kaoge kwanza usitoe harufu mbaya
 
Anaonekana yuko fiti kabisa.

Si ajabu labda alipata mafua tu na akaamua apumzike kidogo.

Na hapo labda ndo wale wazushi wakapata mwanya wa kuzusha uzushi wao.

Kuna kipindi hata Jenerali Mwamunyange alizushiwa mambo kama haya haya.
Yankoangalia matundu ya pua ndio uelekeo wetu.
 
Ni jambo jema kiongozi kuwapa faraja wafiwa.

Kuna wakati siku za mwanzoni Rais alikuwa haendi au anachelewa kwenda kwenye misiba iliyogusa kwa namna ya pekee jamii yetu, watu tulilalamika sana, siku hizi anaenda, tunalalamika au kukejele. Nadhani siyo sahihi. Unapomsema mtu kuwa jambo fulani kwa nini halifanya halafu baadaye akafanya, inabidi kumpongeza maana ulikuwa ukimsema ili abadilike.

Mimi nampongeza Rais kwa kuwafariji wafiwa. Kwa kuwa hilo siku hizi analifanya, hatuwezi kumlaumu kwa hilo tena, sasa tunamwomba afanye yaliyobakia - hasa kuihakikishia nchi yetu usalama, uhuru na demokrasia. Hatuwataki wasiojulikana, wanaoteka watu, wanaotesa, wanaoua au kubambikizia watu kesi za uhujumu uchumi na kutakatisha fedha wakati makosa yenyewe, kwa walio wengi, ni makosa ya ukwepaji kodi.

..basi aachane na tabia za kuwatukana, kuwaandama, kuwahujumu, na kuwadhalilisha, wapinzani ambao wako active ktk siasa.

..linganisha alichotendewa Alphonce Mawazo na hiki alichotendewa Mzee James Mapalala. Kumbuka wote ni wanasiasa wa upinzani, wanatoka kabila moja na bwana mkubwa.

..Kwanini Mawazo aliuwawa mita 100 toka kituo cha Polisi? Kwanini ndugu wa Alphonce Mawazo waliwekewa figisu na kufanyiwa vurugu na Polisi wakati wakiomboleza? Kwanini Raisi au mwakilishi wake hakuwafaraji familia ya Alphonce Mawazo kama hivi anavyofanya kwa Mzee James Mapalala?
 
Back
Top Bottom