Rais Magufuli aenda kuhani msiba wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha CUF, James Mapalala

Ni jambo jema kiongozi kuwapa faraja wafiwa.

Kuna wakati siku za mwanzoni Rais alikuwa haendi au anachelewa kwenda kwenye misiba iliyogusa kwa namna ya pekee jamii yetu, watu tulilalamika sana, siku hizi anaenda, tunalalamika au kukejele. Nadhani siyo sahihi. Unapomsema mtu kuwa jambo fulani kwa nini halifanya halafu baadaye akafanya, inabidi kumpongeza maana ulikuwa ukimsema ili abadilike.

Mimi nampongeza Rais kwa kuwafariji wafiwa. Kwa kuwa hilo siku hizi analifanya, hatuwezi kumlaumu kwa hilo tena, sasa tunamwomba afanye yaliyobakia - hasa kuihakikishia nchi yetu usalama, uhuru na demokrasia. Hatuwataki wasiojulikana, wanaoteka watu, wanaotesa, wanaoua au kubambikizia watu kesi za uhujumu uchumi na kutakatisha fedha wakati makosa yenyewe, kwa walio wengi, ni makosa ya ukwepaji kodi.
 
Asiwadanganye huyu Nyani Ngabu

''Hii ni recorded video, Magufuli yuko kwenye chumba namba 308 hospitalini Ujerumani''! ''Kwa sasa Lugalo wanafanya maandalizi kupokea mwili wake''!

Alisikika mpuuzi mmoja akisema!

Hii nchi ina vituko!
Atakufaje wakati hajapokea Dilimulaina mpya?
Mlevi mwingine alihoji.
 
Kaenda kuhani au kuthibitisha kama kweli amekufa? Huyu asiyependa vyama vingi ndo ampende mwanzilishi wa vyama vingi?
 
Anaonekana yuko fiti kabisa.

Si ajabu labda alipata mafua tu na akaamua apumzike kidogo.

Na hapo labda ndo wale wazushi wakapata mwanya wa kuzusha uzushi wao.

Kuna kipindi hata Jenerali Mwamunyange alizushiwa mambo kama haya haya.
Awe mzima awe marehemu hakuna anayeshoboka naye,
 
Kama imekuuma kufaa

Kuna anything CCM dick sucker says kiniume?

Like what maafaka?

Like what u said?Really?

Unashindwa kujitetea mwenyewe mpaka umuingize an old woman of 96yrz ambae hayupo hapa kujitetea mwenyewe ndio unaona its something??

Nishambulie mimi personally,sio unarukia wasio husika which is cowardice!

You Jiwe blowjob givers!

Unanuka mavi,kajisaidie huko!
 
Jiwe kaanza lini kuwapenda wapinzani? Au ndio mpaka wafe? Huyu mzee anachuki isiyokifani na mtu yeyote anayempinga!
 
Asiwadanganye huyu Nyani Ngabu

''Hii ni recorded video, Magufuli yuko kwenye chumba namba 308 hospitalini Ujerumani''! ''Kwa sasa Lugalo wanafanya maandalizi kupokea mwili wake''!

Alisikika mpuuzi mmoja akisema!

Hii nchi ina vituko!
Hiyo si hoja yenye nguvu, hoja yenye nguvu hapa ni kwanini watu wamchukie Magufuli kiasi cha kumwombea kifo?
Nyerere hakuombewa kifo
Mkapa hakuombewa kifo
Kikwete hakuombewa kifo
Ni kwanini iwe Magufuli tu?
Hiyo ndo hoja hasa.
 
Tofauti na akina Mbowe na Zitto rip Mapalala alikuwa mpinzani wa kweli!
mapalala aliwekwa kizuizini na huyo anayeitwa mfalme nyerere kule mafia. zito na mbowe wote wanakesi za kubambikiwa kisa wanatofautiana mawazo na maiti anayetembea.JPM
 
Back
Top Bottom