Ulinunuliwa lini na kwa sh ngapi?Angefuta na 'manunuzi' ya wanasiasa huenda tungeokoa pesa kibao kuliko hizi za sherehe!
Kwani kakwambia yeye mwanasiasa. Wanaonunuliwa wenyewe si ndio wamesema, au unesahau dogo Nassari alisema nini?Ulinunuliwa lini na kwa sh ngapi?
Covid 19.Sababu ?
Ulaji umeyeyuka aisee.
Kama ni kweli basi ni mwendelezo wa fikra zake kutaka yeye tu ndio abudiwe na watanzania wote.
(kama itabidi kukufuru basi ni heri nimuabudu aliyegundua moto)
Ulaji umeyeyuka aisee.
Huyo bidada hapo nakumbuka post zake enzi covid 19 imepamba motoCovid 19.
Mbona watu walishasherehekea kuiaga rasmi.Covid 19.
Na alikuwa anaongoza kutaka lockdown.Huyo bidada hapo nakumbuka post zake enzi covid 19 imepamba moto
Yeye kasema bado ipo tuchukue tahadhari.Mbona watu walishasherehekea kuiaga rasmi.
Sasa hivi naona kimya, kaona mshua yuko sahihiNa alikuwa anaongoza kutaka lockdown.
Tahadhari mashuleni ikojeYeye kasema bado ipo tuchukue tahadhari.
Hakuna sababu yoyote aliyoitoa mpaka kuhairisha hizo sherehe.Sababu ?
Ngoja nimuulize jirani yangu ni mwalimu.Tahadhari mashuleni ikoje
Kwani hizo sherehe zikiwepo huwa zina tija gani?Hakuna sababu yoyote aliyoitoa mpaka kuhairisha hizo sherehe.
Kalala tu kisha kaamka na kusema hakuna sherehe za mashujaa.
Utashangaa kuna makada wa kijani watakuja mbio mbio kuimba ngonjera za kupongeza hilo kama kawaida yao.