Rais Magufuli aahirisha Sherehe za Kumbukumbu ya Mashujaa kwa mwaka huu

Snowden E

JF-Expert Member
Apr 27, 2018
1,321
2,133
Taarifa kwa vyombo vya habari ni hii

IMG_20200718_103147.jpg
 
Kama ni kweli basi ni mwendelezo wa fikra zake kutaka yeye tu ndio abudiwe na watanzania wote.
(kama itabidi kukufuru basi ni heri nimuabudu aliyegundua moto)
 
]
Haishangazi kwani alishasema "inategemea ataamkaje". Katiba,Sheria na Kanuni/Miongozo ishawekwa kapuni. Tuendelee kunawa mikono kwa sabuni/maji tiririka bila kusahau Oktoba 2020 tufanye maamuzi sahihi!
 
Hakuna sababu yoyote aliyoitoa mpaka kuhairisha hizo sherehe.
Kalala tu kisha kaamka na kusema hakuna sherehe za mashujaa.

Utashangaa kuna makada wa kijani watakuja mbio mbio kuimba ngonjera za kupongeza hilo kama kawaida yao.
 
Kwani hizo sherehe zikiwepo huwa zina tija gani?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom