Rais Magufuli aagiza mke wa Mlowola kupangiwa kazi nchini Cuba

Kwa vile ni shemeji yetu kwa member mwenzetu, nitamuuliza jamaa.
Moja ya makazi mazuri ya Balozi zetu ni South na Italy. Wakati Ami Mpungwe akiwa balozi South mpishi alikuwa dada mmoja mzungu guu guu, Mpungwe angekuwa kabila yetu, huyo mpishi ingembidi tuu atayarishe vyakula vyote, breakfast, lunch, supper na dinner.
P
 
Back
Top Bottom