R.B
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 6,296
- 2,573
Nianze na definition nini maana ya Cannal (Mfereji)
an artificial waterway constructed to allow the passage of boats or ships inland or to convey water for irrigation
· Those connecting existing lakes, rivers, other canals or seas and oceans.
· Those connected in a city network: such as the Canal Grande and others of Venice Italy; the gracht of Amsterdam, and the waterways of Bangkok.
angalia Ramani ya mto Ruvuma:
Najua kwa kebehi zetu nitatukanwa na nitapigwa sana Utaambiwa not navigable : wakati watu wanatengeneza Canal sehemu ambayo aina ata maji: . mi naamini kianzio cha maji tunacho cha kuingiza maji kwenye mfereji : Mto Ruvuma .
Utaambiwa not navigable : wakati watu wanatengeneza Canal sehemu ambayo aina ata maji:
ikibidi tutumie ata njia za mto ruvuma kwa kuhamisha kwa muda.
Ni wakati wa kujipanga kuanza uzisha ujenzi wa mfereji wa wa bahari ya indi mpk ziwa nyasa; Huu mfereji uitwe Ruvuma canal
Huu utafungua fursa kwa nchi ya malawi , zambia, congo , angola , maeneo ya juu ya masumbiji , zimbambwe na Burundi.
itakuwa rahisi kutengeneza bandari kavu kubwa Kyela kwa mizigo itakayo pitishwa ziwa tanaganyika na mto Congo unaingia sehemu kubwa ya Congo.
Ushauri wangu kinachotakiwa mradi kama huu wapewe chuo cha ardhi watafute levelling ya toka Mtwara mpaka ziwa Nyasa. Kina cha meli ni mita 10.5 - 30.
kama kila Raisi atachimba kilomita 50. Miaka 50 ijayo kizazi chetu kitatukumbuka. Tufanye kizazi chetu kikute maisha Rahisi.
na uhakika tukianza ujenzi huu tutacreate ajira zaidi ya 1 milioni au 5 milioni.
Picha za ujenzi wa Canal mbalimbali'