Rais Magufuli 2020 ajenge Ruvuma cannel (mfereji) toka Mtwara mpaka Ziwa nyasa, kama Panama na Suez

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573
Nianze na definition nini maana ya Cannal (Mfereji)
an artificial waterway constructed to allow the passage of boats or ships inland or to convey water for irrigation
· Those connecting existing lakes, rivers, other canals or seas and oceans.
· Those connected in a city network: such as the Canal Grande and others of Venice Italy; the gracht of Amsterdam, and the waterways of Bangkok.

overviewmap_regular.jpg

angalia Ramani ya mto Ruvuma:

Najua kwa kebehi zetu nitatukanwa na nitapigwa sana Utaambiwa not navigable : wakati watu wanatengeneza Canal sehemu ambayo aina ata maji: . mi naamini kianzio cha maji tunacho cha kuingiza maji kwenye mfereji : Mto Ruvuma .
Utaambiwa not navigable : wakati watu wanatengeneza Canal sehemu ambayo aina ata maji:

ikibidi tutumie ata njia za mto ruvuma kwa kuhamisha kwa muda.

Ni wakati wa kujipanga kuanza uzisha ujenzi wa mfereji wa wa bahari ya indi mpk ziwa nyasa; Huu mfereji uitwe Ruvuma canal

Huu utafungua fursa kwa nchi ya malawi , zambia, congo , angola , maeneo ya juu ya masumbiji , zimbambwe na Burundi.

itakuwa rahisi kutengeneza bandari kavu kubwa Kyela kwa mizigo itakayo pitishwa ziwa tanaganyika na mto Congo unaingia sehemu kubwa ya Congo.

Ushauri wangu kinachotakiwa mradi kama huu wapewe chuo cha ardhi watafute levelling ya toka Mtwara mpaka ziwa Nyasa. Kina cha meli ni mita 10.5 - 30.

kama kila Raisi atachimba kilomita 50. Miaka 50 ijayo kizazi chetu kitatukumbuka. Tufanye kizazi chetu kikute maisha Rahisi.

na uhakika tukianza ujenzi huu tutacreate ajira zaidi ya 1 milioni au 5 milioni.

Picha za ujenzi wa Canal mbalimbali'

C:\Users\user\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image002.jpg

C:\Users\user\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image004.jpg

C:\Users\user\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image006.jpg
C:\Users\user\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image008.jpg
C:\Users\user\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image010.jpg
C:\Users\user\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image011.jpg
 
Huko ni mbali sana mkuu, kwa akili hizi hatuwezi kufikiria huko.. Bongo zetu nizakuku kula kulala ndio fikra zetu..
 
Mifereji ya kumwagilia mpunga na mazao mengine tumeshindwa itakuwa wa kupitisha meli?No shortcut in maturity!
LAKINI SIKUIZI TECHNOLOGY PESA ZAKO; MBOONA DUBAI WAMEFANYA SHORT CUT
 
Nianze na definition nini maana ya Cannal (Mfereji)
an artificial waterway constructed to allow the passage of boats or ships inland or to convey water for irrigation
· Those connecting existing lakes, rivers, other canals or seas and oceans.
· Those connected in a city network: such as the Canal Grande and others of Venice Italy; the gracht of Amsterdam, and the waterways of Bangkok.

overviewmap_regular.jpg

angalia Ramani ya mto Ruvuma:

Najua kwa kebehi zetu nitatukanwa na nitapigwa sana Utaambiwa not navigable : wakati watu wanatengeneza Canal sehemu ambayo aina ata maji: . mi naamini kianzio cha maji tunacho cha kuingiza maji kwenye mfereji : Mto Ruvuma .
Utaambiwa not navigable : wakati watu wanatengeneza Canal sehemu ambayo aina ata maji:

ikibidi tutumie ata njia za mto ruvuma kwa kuhamisha kwa muda.

Ni wakati wa kujipanga kuanza uzisha ujenzi wa mfereji wa wa bahari ya indi mpk ziwa nyasa; Huu mfereji uitwe Ruvuma canal

Huu utafungua fursa kwa nchi ya malawi , zambia, congo , angola , maeneo ya juu ya masumbiji , zimbambwe na Burundi.

itakuwa rahisi kutengeneza bandari kavu kubwa Kyela kwa mizigo itakayo pitishwa ziwa tanaganyika na mto Congo unaingia sehemu kubwa ya Congo.

Ushauri wangu kinachotakiwa mradi kama huu wapewe chuo cha ardhi watafute levelling ya toka Mtwara mpaka ziwa Nyasa. Kina cha meli ni mita 10.5 - 30.

kama kila Raisi atachimba kilomita 50. Miaka 50 ijayo kizazi chetu kitatukumbuka. Tufanye kizazi chetu kikute maisha Rahisi.

na uhakika tukianza ujenzi huu tutacreate ajira zaidi ya 1 milioni au 5 milioni.

Picha za ujenzi wa Canal mbalimbali'

C:\Users\user\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image002.jpg

C:\Users\user\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image004.jpg

C:\Users\user\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image006.jpg
C:\Users\user\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image008.jpg
C:\Users\user\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image010.jpg
C:\Users\user\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image011.jpg
Hii canal ya kuchanganya maji baridi na maji chumvi hii inaTBS kweli yaani ukaaribu maji ya kunywa na kupikia kwa changanya na maji mfuu ya bahari ataa kama ujui ujawahi ataa sikia hadithi watu Wa kisiwa cha mafia awana maji ya kutumia ili hali wanaendesha maisha ya kutegemea uvuvi baharini
 
Issue sio kuwa navigable but will it be economically viable?! Hakuna ulinganifu kati ya Suez na hiyo proposed canal. Idea ya kuiunganisha Red na Mediterranean Seas ni kutengeneza shortest distance between to West to East! Ile ni strategic trade route ambayo; katika kupunguza umbali kati ya West to East; lazima utapita tu! Hii sio route ya kuifungia safari bali ni route unayokutana nayo by default kwenye safari zako! Patamu zaidi ni kwamba, ni routes inayounganisha two major trade blocks; Ulaya na America kwa upande mmoja na Asia kwa upande mwingine!!!!

Tukirudi kwenye proposal yako! Unapofungua mkondo wa maji kutokea Bahari ya Hindi hadi Ziwa Nyasa ili hatimae iwe nini?! Fine, tuta-facilitate usafiri wa maji kati ya Ziwa Nyasa to Bahari ya Hindi! Hiyo Ruvuma Canal itakuwa inasafirisha biashara gani worth enough kwa taifa kutumia trillions of shillings kujenga mfereji?! Leo hii Malawi, Zambia, Zimbabwe n.k wana-export nini kupitia Bandari ya Dar es salaam?! By the way, hiyo ndio best alternative katika ku-facilitate usafirishaji kati ya maeneo husika? Kiuchumi; unakuwa na multiple alternatives na hatimae kuishia na one best alternative. Suez Canal ilikuwa na bado ndio best alternative hadi sasa katika kuunganisha West to East! Je, tunadhani Ruvuma Canal ndio best alternative kuliko, kwa mfano railway infrastructure itakayounganisha hizo nchi?
 
aisee ukifanya hvyo dunia itakua na maswali mengi sana ya kujiuliza juu ya akili zetu.......................:cool::cool::cool::cool::cool::cool::cool::cool::cool::cool::cool:
 
Sioni sababu yoyote ya msingi ya kutumia pesa za walipa kodi kujenga kitu kama hicho.

Panama na Suez canals zilijengwa kupunguza maelfu ya kilometa za urefu wa safari, sababu ambayo ni ya Msingi kabisa. Hapo ni kupoteza hela ambazo zingetumika kufanya mengine mengi tu ya msingi
 
Nianze na definition nini maana ya Cannal (Mfereji)
an artificial waterway constructed to allow the passage of boats or ships inland or to convey water for irrigation
· Those connecting existing lakes, rivers, other canals or seas and oceans.
· Those connected in a city network: such as the Canal Grande and others of Venice Italy; the gracht of Amsterdam, and the waterways of Bangkok.

overviewmap_regular.jpg

angalia Ramani ya mto Ruvuma:

Najua kwa kebehi zetu nitatukanwa na nitapigwa sana Utaambiwa not navigable : wakati watu wanatengeneza Canal sehemu ambayo aina ata maji: . mi naamini kianzio cha maji tunacho cha kuingiza maji kwenye mfereji : Mto Ruvuma .
Utaambiwa not navigable : wakati watu wanatengeneza Canal sehemu ambayo aina ata maji:

ikibidi tutumie ata njia za mto ruvuma kwa kuhamisha kwa muda.

Ni wakati wa kujipanga kuanza uzisha ujenzi wa mfereji wa wa bahari ya indi mpk ziwa nyasa; Huu mfereji uitwe Ruvuma canal

Huu utafungua fursa kwa nchi ya malawi , zambia, congo , angola , maeneo ya juu ya masumbiji , zimbambwe na Burundi.

itakuwa rahisi kutengeneza bandari kavu kubwa Kyela kwa mizigo itakayo pitishwa ziwa tanaganyika na mto Congo unaingia sehemu kubwa ya Congo.

Ushauri wangu kinachotakiwa mradi kama huu wapewe chuo cha ardhi watafute levelling ya toka Mtwara mpaka ziwa Nyasa. Kina cha meli ni mita 10.5 - 30.

kama kila Raisi atachimba kilomita 50. Miaka 50 ijayo kizazi chetu kitatukumbuka. Tufanye kizazi chetu kikute maisha Rahisi.

na uhakika tukianza ujenzi huu tutacreate ajira zaidi ya 1 milioni au 5 milioni.

Picha za ujenzi wa Canal mbalimbali'

C:\Users\user\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image002.jpg

C:\Users\user\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image004.jpg

C:\Users\user\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image006.jpg
C:\Users\user\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image008.jpg
C:\Users\user\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image010.jpg
C:\Users\user\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image011.jpg
haikuwa katika ilani ya chama
 
Usha ona wapi canal inaunganisha Bahari na Ziwa ..............!!?

Au unataka kulifanya ziwa Nyasa kuwa Ocean!!?
 
Malawi wanadai mpaka kati yetu ni ukingo was ziwa Nyasa. Ukiongeza maji kupitia mfereji, kuna uwezekano ukingo ukaongezeka!
Dawa yao ni kupunguza maji yaingiayo ziwani ili ukingo upungue kuelekea ziwani!
 
Akili mfu hizi. Altitude ya L. Nyasa unaijua? Not less than 3000m from sea level. Kwa akili za hapo Lumumba ndio mmejazana ujinga kupandisha maji mlima? Ha ha ha. The sea is always at the lowest level than any point on the land except very few exceptions. Labda proposal yako mfu hii uwekee na budget ya very big pump kupandisha maji; na hamshindwi ninyi ili mpige hela na mradi uishie hapo hapo.

Ha ha ha hivi una akili kweli wewe? Umeshindwa kuelewa Suez na Panama canals zinaunganisha two points zilizo kwenye level moja - Red/Medit and Pacific/Carribean seas? Kama hawa ndio washauri wenyewe no wonder tuko pale pale for years.
 
Hii canal ya kuchanganya maji baridi na maji chumvi hii inaTBS kweli yaani ukaaribu maji ya kunywa na kupikia kwa changanya na maji mfuu ya bahari ataa kama ujui ujawahi ataa sikia hadithi watu Wa kisiwa cha mafia awana maji ya kutumia ili hali wanaendesha maisha ya kutegemea uvuvi baharini

Hata mimi nimejiuliza swali hilohilo kwamba huo mfereji (canal) anao utamani huyo bwana mtoa mada si utapelekea maji masafi ya baridi kuchanganyikana na maji ya chumvi, anaye fahamu haya mambo vizuri asisite kunifahamisha.

Mtoa mada ingefaa sana kama ungependekeza yafuatayo kwa Mh. Raisi kuhusu Malawi
(1) aendelee kuiboresha reli ya Tazara ili mizigo ya Malawi na yenyewe isafirishwe kwa hiyo reli then ikifika mbeya ipakuliwe halafu isafirishwe kwa barabara kuelekea Malawi
(2) ajenge kituo cha mpakani cha pamoja (one stop boarder post) baina ya Tanzania na Malawi kama ilivyo kwenye kituo cha Rusumo kati ya Tanzania na Rwanda
 
Nianze na definition nini maana ya Cannal (Mfereji)
an artificial waterway constructed to allow the passage of boats or ships inland or to convey water for irrigation
· Those connecting existing lakes, rivers, other canals or seas and oceans.
· Those connected in a city network: such as the Canal Grande and others of Venice Italy; the gracht of Amsterdam, and the waterways of Bangkok.

overviewmap_regular.jpg

angalia Ramani ya mto Ruvuma:

Najua kwa kebehi zetu nitatukanwa na nitapigwa sana Utaambiwa not navigable : wakati watu wanatengeneza Canal sehemu ambayo aina ata maji: . mi naamini kianzio cha maji tunacho cha kuingiza maji kwenye mfereji : Mto Ruvuma .
Utaambiwa not navigable : wakati watu wanatengeneza Canal sehemu ambayo aina ata maji:

ikibidi tutumie ata njia za mto ruvuma kwa kuhamisha kwa muda.

Ni wakati wa kujipanga kuanza uzisha ujenzi wa mfereji wa wa bahari ya indi mpk ziwa nyasa; Huu mfereji uitwe Ruvuma canal

Huu utafungua fursa kwa nchi ya malawi , zambia, congo , angola , maeneo ya juu ya masumbiji , zimbambwe na Burundi.

itakuwa rahisi kutengeneza bandari kavu kubwa Kyela kwa mizigo itakayo pitishwa ziwa tanaganyika na mto Congo unaingia sehemu kubwa ya Congo.

Ushauri wangu kinachotakiwa mradi kama huu wapewe chuo cha ardhi watafute levelling ya toka Mtwara mpaka ziwa Nyasa. Kina cha meli ni mita 10.5 - 30.

kama kila Raisi atachimba kilomita 50. Miaka 50 ijayo kizazi chetu kitatukumbuka. Tufanye kizazi chetu kikute maisha Rahisi.

na uhakika tukianza ujenzi huu tutacreate ajira zaidi ya 1 milioni au 5 milioni.

Picha za ujenzi wa Canal mbalimbali'

C:\Users\user\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image002.jpg

C:\Users\user\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image004.jpg

C:\Users\user\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image006.jpg
C:\Users\user\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image008.jpg
C:\Users\user\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image010.jpg
C:\Users\user\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image011.jpg
Akili yako haina Akili!!!
 
Back
Top Bottom