Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Source RFA
Rais wa Tz kamtumia rambirambi mkuu wa mkoa wa mwanza jwa kifo cha diwani wa CCM na kijana aliyeuwawa na Mabina na kutoa wito wa raia kutojichukulia sheria mkononi na akisema wangetumia mahakama kutatua mgogoro huo.
Najiuliza rais katoa salam hizo kwa kuwa ni mwanachama waje au kwa kuwa ni raia???
Kama ni raia je ni raia wangapi wanakufa kwa kukosa haki na hatoi rambirambi??
Na kama ni mwanachama wake hapo sisemi....