Kwani aliyemaliza Chuo na hana ajira, hastahili kuteuliwa?
Roho ya kwanini siyo nzuri Arawa.
DED ni kama Managing Director wa Wilaya, kwahiyo elimu peke yake haitoshi. Inahitajika uzoefu mpana wa kikazi ili mtu awe na minimum requirement za kuwa DED. Mafungu yote ya matumizi ya serikali yanasimamiwa na DED. Na idara zote nyeti katika ngazi ya wilaya ziko chini yake.