Rais kurekodi kipindi ili kutangaza utalii, je, waziri wa utalii anafanya nini?

mshale21

JF-Expert Member
Apr 8, 2021
2,049
4,904
Wakuu, natumai hamjambo!

Jana iliripotiwa kuwa Rais Samia ameanza rasmi kurekodi kipindi kinacholenga kutangaza utalii, waziri wa utalii anafanya kazi gani? Hana ubunifu mpaka mwajiri wake anaamua kubuni njia ya kuitangaza Tanzania kiutalii?

IMG_20210830_115832.jpg
 
Mkuu Royal Tour hu-deal na presidents na Kings kutangaza vivutio vya utalii vilivyomo nchini mwao kuonyesha reliability na seriousness sababu president huaminika zaidi kimataifa kuliko Waziri

Kwa hili yuko sahiihi japo gharama zake huwa kubwa kweli kweli sio utani

Hizo kampuni ni sawa na zile za utangazaji wa advertising ni Kama za PPR za akina Pascal Mayala ila zenyewe ni za kimataifa na hu deal na high profile leaders at high cost of course. Ziko zingine za kitapeli wapiga pesa tu unakuta hakuna results za maana ziko zingine zi ki shoot Bill gates na mabilionea wakubwa na presidents lazima waje Tanzania kutalii. Big fish

Tusubiri what happens after shooting the movie what will come
 
Mkuu Royal Tour hu deal na presidents na Kings kutangaza vivutio vya utalii vilivyomo nchini mwao kuonyesha reliability na seriousness sababu president huaminika zaidi kimataifa kuliko Waziri

Kwa hili Yuko sahiihi japo gharama zake huwa kubwa kweli kweli sio utani

Hizo kampuni Ni sawa na zile za utangazaji wa advertising Ni Kama za PPR za akina Pascal Mayala ila zenyewe Ni za kimataifa na hu deal na high profile leaders at high cost of course.Ziko zingine za kitapeli wapiga pesa tu unakuta hakuna results za maana ziko zingine zi ki shoot Bill gates na mabilionea wakubwa na presidents lazima waje Tanzania kutalii.Big fish

Tusubiri what happens after shooting the movie what will come
Ngoja tusubir tuone! Ila huyo waziri husika mbona yupoyupo TU?!
 
nchi hii ukiishakuwa rais unaweza kufanya chochote, na hakuna wa kukuhoji
Hela zoote ni zako
utasikia rais katoa hela za ujenzi wa ikulu, mara rais kasitisha hiki
kila kitu ni yeye
anakuwa kamungu fulani hivi
 
Huyo anaejiita kuwa ni Rais anajisumbua tu na kupoteza muda wake.Kitakacho tangaza utalii Tanzania ni demokrasia,uhuru wa watu pamoja na utawala bora.

Nchi ambayo Serekali imeitangazia dunia kuwa ina gaidi hatari sana(yaani Freeman Mbowe)itawezaje kuvutia wawekezaji pamoja na watalii?

Tuweke taasisi na mifumo yetu sawa kwanza ndipo Dunia itatuamini.
 
Mkuu Royal Tour hu deal na presidents ....

... Ziko zingine za kitapeli wapiga pesa tu unakuta hakuna results za maana ziko zingine zi ki shoot Bill gates na mabilionea wakubwa na presidents lazima waje Tanzania kutalii.Big fish

Tusubiri what happens after shooting the movie what will come

Za namna hii mara nyingi upiga pesa kuliko za ukweli na ndizo upokelewa sana zinapopeleka maombi kuliko real company.

Binafsi napenda watu fasta wanaoangalia fulsa kisha mnatembea mbele.
 
Back
Top Bottom