Nimemsikia Mtukufu Rais akilalama kuwa haridhishwi na utendaji wa TAKUKURU kwa kuwa hakuna watu waliofungwa vifungo vikubwa vikubwa akiwa na mashaka pengine sheria nazo si kali.
Hii ni sawa? Nadhani mafanikio ni kuona inafika siku hakuna kesi ya rushwa mahakamani. Elimu zaidi itolewe.
Hii ni sawa? Nadhani mafanikio ni kuona inafika siku hakuna kesi ya rushwa mahakamani. Elimu zaidi itolewe.