Leo katika hotuba yake Rais amelisifu gazeti la jamuhuri kwa kuandika habari ya mita ya kupima kiasi cha mafuta yanayoingia nchini kufungwa kwa miaka mitano hvyo kuikosesha serikari mapato kwa kutojua kiasi halisi cha mafuta yanayoingia. Sasa tujadili haya magazet ya serikali ambayo kila kukicha n kusifia yanajifunza nini hapa...wakati rais mwenyewe anataka kusaidiwa kuonyeshwa maovu.