popbwinyo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,986
- 3,608
Na we we pia kapanue ubongo,Umechemka sana kwa mtazamo wako uwo, hakuna ilitrojia yoyote iliyovunjwa pale, Raisi was Burundi Nkurunzinza yeye binafsi uenda kanisani kufanya usafi kabla ya ibada, na anakuambia anamtumikia aliye mkuu kuliko wote, sasa we we unakuja na swala la kukusanya sadaka.......!bado sana
Kufagia ama kusafisha siyo lituljia ni majitoleo,