Rais kuhutubia Bomang'ombe haitamsaidia lolote

Nimesikia na kuona Mtukufu Rais akihutubia wananchi kwenye eneo la Bomang'ombe huko Kilimanjaro, sina kipingamizi na hotuba yake, bali nina hoja kadhaa.

Bomang'ombe iko Jimbo la Hai ambako ndio anatokea mwamba wa siasa za Tanzania Freeman Mbowe, mtu ambaye amebambikwa kesi ya uongo ya Ugaidi na serikali ya Huyohuyo Hangaya, kwa tafsiri ya haraka haraka ni kwamba Mtemi Hangaya alipita Bomang'ombe ili kujisafisha, hii ni kwa sababu alikoalikwa kwa sherehe za kimagumashi zilizoandaliwa na "watu wa serikali " ili kuwadanganya wachaga siyo Bomang'ombe , kulikuwa na haja gani ya kuhutubia hapo pasipohusika?

Nifupishe kwa kusema hivi, nadhani Hangaya mwenyewe ameona mwitikio aliopata, huu ni mwanzo tu, huko mbele ataona makubwa zaidi, kama umeamua "kumuua nyani " ya nini kumtazama usoni? Endelea kufanya kama ulivyoelekezwa na wapambe wako, hakuna haja ya kutafuta huruma, Dunia nzima inafahamu kwamba Mbowe siyo Gaidi, UNAPOTEZA MUDA WAKO TU.
Alidhani atapewa sale la heshima kama magufuli
 
Kwenye nchi zilizostarabika, mwanamke wa aina hii hawezi kupewa uongozi wa nchi, anatakiwa mwenye maadili tu
 
Hata Wakoloni hawakukosa Machawa!
Ukichoka kulitumia neno 'uchawa' unaweza kuhamia kwa 'ukiroboto', 'ukunguni', 'undorobo' n.k lakini haiondoshi ukweli wa nilichokisema. Km president, atakuja huko kila anapotaka na mbege mtamuandalia hata mkiwa mmenuna.

Halafu huyu mama anajulia kweli kuwatesa haters wake wa kilimanjaro kwa kuwaendea hukohuko, nakumbuka hata kampeni yake ya kwanza kabisa mwaka 2015 ya kumnadi jpm alianza hukohuko kilimanjaro
 
kuna neno watu wa Pwani wanaita Gubu....naweza sema nyie watu mna Gubu sasa.. sijui hata umeandika nini sasa...rudia rudia mwenyewe kusoma mara kadhaa
 
Nimesikia na kuona Mtukufu Rais akihutubia wananchi kwenye eneo la Bomang'ombe huko Kilimanjaro, sina kipingamizi na hotuba yake, bali nina hoja kadhaa.

Bomang'ombe iko Jimbo la Hai ambako ndio anatokea mwamba wa siasa za Tanzania Freeman Mbowe, mtu ambaye amebambikwa kesi ya uongo ya Ugaidi na serikali ya Huyohuyo Hangaya, kwa tafsiri ya haraka haraka ni kwamba Mtemi Hangaya alipita Bomang'ombe ili kujisafisha, hii ni kwa sababu alikoalikwa kwa sherehe za kimagumashi zilizoandaliwa na "watu wa serikali " ili kuwadanganya wachaga siyo Bomang'ombe , kulikuwa na haja gani ya kuhutubia hapo pasipohusika?

Nifupishe kwa kusema hivi, nadhani Hangaya mwenyewe ameona mwitikio aliopata, huu ni mwanzo tu, huko mbele ataona makubwa zaidi, kama umeamua "kumuua nyani " ya nini kumtazama usoni? Endelea kufanya kama ulivyoelekezwa na wapambe wako, hakuna haja ya kutafuta huruma, Dunia nzima inafahamu kwamba Mbowe siyo Gaidi, UNAPOTEZA MUDA WAKO TU.
Nyie mmembambika kesi Sabaya na amefungwa nendeni wilayani kwao na Sabaya mkatafute huruma.
 
Mbowe ana tuhuma za uhalifu kama Sabaya tu hawana tofauti. Mbowe sio mfalme wa Hai kama alivyo Kwa wajinga MaCHADEMA.
Samia hahitji watu wa wilaya fulani tu bali watanzania wote Na tunampenda sana Na ataendelea mpaka 2030 Mungu amlinde na husuda kama za MaCHADEMA.
Umeandika nyongo tu uliyonayo Kwa Rais Na kupenda kushabikia wahalifu. Igeni ACT wenye hoja za maana maCHADEMA hopelessly kazi kukaa mahakamani kila siku badala ya kushughulika na shida za wananchi.
#MBOWE NI MTUHUMIWA KAMA SABAYA#
Ccm wako madarakani kwa miaka yote hiyo lkn wameshindwa kushughulikia matatizo ya wananchi na badala yake wanawazidishia wananchi shida sasa unasingizia watu ambao hawajashika madaraka hata kwa sekunde moja.

Act-wazalendo ni moja ya vyama pandikizi vilivyoundwa na serikali ya ccm kukidhi matakwa yao na hilo liko wazi kabisa.
 
Mbowe ana tuhuma za uhalifu kama Sabaya tu hawana tofauti. Mbowe sio mfalme wa Hai kama alivyo Kwa wajinga MaCHADEMA.
Samia hahitji watu wa wilaya fulani tu bali watanzania wote Na tunampenda sana Na ataendelea mpaka 2030 Mungu amlinde na husuda kama za MaCHADEMA.
Umeandika nyongo tu uliyonayo Kwa Rais Na kupenda kushabikia wahalifu. Igeni ACT wenye hoja za maana maCHADEMA hopelessly kazi kukaa mahakamani kila siku badala ya kushughulika na shida za wananchi.
#MBOWE NI MTUHUMIWA KAMA SABAYA#
Sabaya ni mfungwa wa ujambazi wa kutumia silaha.
 
Ulipoingiiza ACT kama mfano wa kuigwa na CHADEMA ndio umemalizia utambulisho wako.
Mbowe ana tuhuma za uhalifu kama Sabaya tu hawana tofauti. Mbowe sio mfalme wa Hai kama alivyo Kwa wajinga MaCHADEMA.
Samia hahitji watu wa wilaya fulani tu bali watanzania wote Na tunampenda sana Na ataendelea mpaka 2030 Mungu amlinde na husuda kama za MaCHADEMA.
Umeandika nyongo tu uliyonayo Kwa Rais Na kupenda kushabikia wahalifu. Igeni ACT wenye hoja za maana maCHADEMA hopelessly kazi kukaa mahakamani kila siku badala ya kushughulika na shida za wananchi.
#MBOWE NI MTUHUMIWA KAMA SABAYA#
 
Hii movie wameitengeneza makusudi ili wajue uhalisia wa mambo ukoje field, naamini majibu yao wameyapata, walidhani watu wa HAI ni kama Ndugai waliyemkokota akaenda kuongea na Samia huku amenuna.
We ulikuwepo hapo?We ni mkazi wa Bomang'ombe?Au kiherehere ndiyo maisha yako?.
 
Back
Top Bottom